manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Najaribu kuunganisha matukio kadha wa kadha ya mauaji ya kupigana ama kujipiga risasi, mauaji ya kuchomana visu yanayoripotiwa kila kukicha Arusha kwangu ilikuwa kama ndoto tu na nilikuwa sipati picha kwa nin haya yanatokea na watu wote ni wa aina moja tu ama uelewa unaofanana Arusha?
Ila jana usiku nimeshuhudia kwa macho yangu vijana wadogo wa kama 19yrs wakichomana visu vya sababu za kijinga sana ilikuwa hivi:
Tulikuwa maeneo ya Sanawari mtaa wa juu kidogo kutoka kwenye traffic light niko na wenyeji wangu kwenye ki-pub flan tumekaa kwa barazan tukipata 1,2 pemben yetu ya hiyo pub kuna mchoma chips ambapo kulikuwa na vijana wengi tu hapo wamekaa kwenye bench...Ghafla tukashangaa wawili kati yao wakirushiana makonde hatukujua sababu ni nin...
Kumbe vijana wale wote wapo na visu ndani ya surual yao wakatokea watu kuwaamua hapo ndo kila mmoja alipo pata fursa ya kuchomoa kisu chake...akabidi wale waliowaamua wakae pemben....Dah sikuamin macho yangu kwamba kwa nin sasa wanataka kutoana uhai...
Dakika kama mbili mmoja aliekuwa na umbo dogo akafanikiwa kumchoma mwnzake kisu cha kwenye bega akamchoma tena mkononi watu wakamkamata yule dogo mwenye kisu...Na yule aliechomwa akapelekwa Hosp.....
Ila kitu nilichojifunza kwa nin hiyo tabia haiishi wale watu waliokuwa wanampeleka yule aliechomwa kisu hosp wakaambiana tusiende kukata PF3 polisi maana polis watakuja mkamata huyu dogo...twenden tukawaonge hosp wamuudumie huyu bila PF3, Na hao walikuwa wapita njia tu lakin wanamlinda mhalifu....
Duh kweli Arusha safar bado ndefu sana.