Arusha hakufai.......

Arusha hakufai.......

Bishanga umekutana na machalii wa Arushaone wakakupa mbege wewe ukadhani hiyo ni rubisi, hukujua kuwa mbege+mtori huwa vinakimbilia sakafuni ?(down) siku ingine tafuta mwenyeji akuonyeshe mji
 
Last edited by a moderator:
Arusha kila mtu ana janja yake ya kuishi hapo, kama ni mgeni utashangaa sana kuona mambo yako hayaendi mbaya zaidi ukute salio halisomi.
 
Back
Top Bottom