Arusha hakufai.......

Arusha hakufai.......

Last edited by a moderator:
tatizo hamkwenda kitchen party ungekuwa umejua namna ya kulala
nitaongea na Baba V alete hilo somo hata kama litakuwa kule mwishoni ili mradi watu muone wakati wa kama huu ni nini kinatakiwa kifanyike.
Bishanga akirudi ni kufikia tu hosp kila kitu kitakuwa kimekufa.

Sasa tutawaataje watoto na siku hizi tunalala na makoti Mamndenyi ? Bishanga nilionana nae ila nasikitika akina Filipo sweetlady na Preta plus mwenyekiti na wenzake hawakufanikiwa kumwona kwa sababu wao wote sio MASINGO boys so wangeleta VIWINGU kuona niko na my sweet Chocs
Dadadadadaaaki

Cop PakaJimmy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom