Arusha haina hadhi ya jiji,ifutwe

Arusha haina hadhi ya jiji,ifutwe

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.

Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.
 
sifa kibao lakini arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv arusha.
arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.

Mkapa amesema "ACHA WIVU WA KIJINGA" alitamka wakati anafungua mgodi wa Bulyanhulu kuwa tusiwaonee wivu wazungu waliotumia hela nyingi kuja kuwekeza. Na ndio yeye aliye pandisha hadhi ya Arusha kuwa Jiji. Subiri akigombea tena 2015
 
unavijua vigezo vya mji kuwa jiji.......hivi dar ilikuwa jiji mwaka gani.....na ilikuwa na wakazi kiasi gani.....hivi ushawahi kufika Jiji la mbeya ndugu
Mungi waite vijana wako huku.......... Preta Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Mkapa amesema "ACHA WIVU WA KIJINGA" alitamka wakati anafungua mgodi wa Bulyanhulu kuwa tusiwaonee wivu wazungu waliotumia hela nyingi kuja kuwekeza. Na ndio yeye aliye pandisha hadhi ya Arusha kuwa Jiji. Subiri akigombea tena 2015

usipanic bab!arusha bado sana kiukweli
 
Watu hamuijui Arusha!! Ukiijua Arusha uta:tape:
 
sifa kibao lakini arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv arusha.

Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.

absolutely nonsense!
 
Weweeeeeee,chezeya Arachuga weyeee?
Ebu njoo nikupige na kongoro hapa mitaa ya karoleni(PICNIC BAR)Kisha rudi Dar kawaeleze hao waliokutuma,Dar changudoa mpaka wa jero unapata na unakesha nae,hapa Arusha bao moko ni buku 20.
Hali ya hewa safi kama europe.
Viwanja bei ya chini Arusha ni tsh 20m tena ni kisongooooooooo!?
Population kuuuuuuubwa.
Tatizo lenu manaisoma Arusha kwenye katuni,njooni muone mambo,this is Geneva of Africa bhana.
 
Kwa hiyo wewe ndo mara yako ya kwanza kwenda Arusha kutoka ushago siyo?
 
Hongera kwa kufika Arusha,kweli umetumia akili sana,maana bila ya kuanzisha kiji nyuzi kama hiki tusingejua kuwa na wewe umebahatika kukanyaga arusha,hongera tena.
 
Ar.nzuri sana ila viingozi magamba wanaharibu. Viwanja vya kujirusha viko vibaya au vimefungwa eti sababu polisi wamefanya miradi ya pubs na kama siyo yao wanachukua mipesa kwa wamiliki wavunje sheria za vileo.Sijaona hili kwa Mwanza, Moshi wala Dar.
 
Arusha ni mji mkubwa, ila kiuhalisia hadh ya jiji ni kwa Tanzania, ila jiji hasa hadhi hiyo haijafikiwa Tanga na hata Mbeya. Mwanza ndo kidogo kibongobongo inaweza kufit. Dar ina wilaya ambazo ni manispaa pia za Kinondoni,Ilala na Temeke. Tukichukulia manispaa ya Kinondoni kwa mfano, zinayafunika kila jiji kati ya Arusha, Tanga na hata Mbeya kwa kila kitu kwa maana ya idad ya watu,kodi, ukubwa wa eneo la mji(urban proper) na miundombinu. Kama miji ya Tanga,Arusha na Mbeya ni majiji basi Ilala, K'ndoni na Temeke zipew hadhi hiyo, la sivyo kuna siasa tu hapo. Inakubalika kuwa ni kweli ukiondoa Dar na Mza, miji mingine mikubwa na yenye uchumi ni Arusha, Tanga na Mbeya na inakuwa kwa kasi ila kuwa jiji per se, bado jamani
 
Hamna kitu kule, watu wenyewe mimeno imewaoza, kiswahili kibovu, mji uko ovyo bora hata Tanga.
 
Weweeeeeee,chezeya Arachuga weyeee?
Ebu njoo nikupige na kongoro hapa mitaa ya karoleni(PICNIC BAR)Kisha rudi Dar kawaeleze hao waliokutuma,Dar changudoa mpaka wa jero unapata na unakesha nae,hapa Arusha bao moko ni buku 20.
Hali ya hewa safi kama europe.
Viwanja bei ya chini Arusha ni tsh 20m tena ni kisongooooooooo!?
Population kuuuuuuubwa.
Tatizo lenu manaisoma Arusha kwenye katuni,njooni muone mambo,this is Geneva of Africa bhana.

Mat*k bar ndio mpango mzima
 
Hongera kwa kufika Arusha,kweli umetumia akili sana,maana bila ya kuanzisha kiji nyuzi kama hiki tusingejua kuwa na wewe umebahatika kukanyaga arusha,hongera tena.

arusha nimefika marakibao, lakini sikuwai kukaa zaidi ya siku 1 na kupata mda wa kutosha kuzunguka na kuiona arusha kiundani,safari hii nimepata mda wa kutosha kuijua arusha,yaani arusha bado sana,sifa nyingi lakini hakuna acha cha maana mpaka kupewa hadhi ya jiji.
 
Kwa hiyo wewe ndo mara yako ya kwanza kwenda Arusha kutoka ushago siyo?

hapana nimefika mara kadhaa ,ebu nawe tupatie vigezo vya arusha kuwa jiji
 
Weweeeeeee,chezeya Arachuga weyeee?
Ebu njoo nikupige na kongoro hapa mitaa ya karoleni(PICNIC BAR)Kisha rudi Dar kawaeleze hao waliokutuma,Dar changudoa mpaka wa jero unapata na unakesha nae,hapa Arusha bao moko ni buku 20.
Hali ya hewa safi kama europe.
Viwanja bei ya chini Arusha ni tsh 20m tena ni kisongooooooooo!?
Population kuuuuuuubwa.
Tatizo lenu manaisoma Arusha kwenye katuni,njooni muone mambo,this is Geneva of Africa bhana.

Hapo umedanganya mkuu, bao moja 20tsh? kiawanja bei ya chini 20Tsh? Unazungumzia Arusha gan? maana Arusha ninayoifahamu mimi hakuna Karoleni kuna Kaloleni..
 
Back
Top Bottom