Arusha haina hadhi ya jiji,ifutwe

Arusha haina hadhi ya jiji,ifutwe

Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.

Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.

Ifute basi.Unangoja nini sasa?Usilete umang'aa wako hapa eroo.
 
Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.

Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.
huu uchekibobu wa UVCCM utawaua siku moja. Arusha yenyewe hujawahi kufika halafu unaleta maneno miiingi! ooh TV, ooh idadi ya watu ooh.....acha kujifanya mjuaji wakati hujui kitu!
 
Kuifananisha Arusha na mji/jiji lolote barani africa ni kuudhalilisha uafrica wako.
Waafrica walikaa na wakaona kwamba ni dhahili shahili kwamba Arusha is the best & beautiful place in africa na ndio maana wakaipa jina la 'GENEVA' of africa.
 
Ara chuga ni pa ukweli kuanzia madini,biashara,kilimo almost everything bila kusahau inaingiza pato la taifa kubwa sana. labda wewe umeangalia kigezo cha kutokuwa na bahari ndo maana unapondea ila Arachuga oyeee
 
Mdau kwa nini umekuwa na mashaka kuhusu Urban proper? Kwa mfano Ilala kuna mjini na pembezoni. Temeke pia. Kwa mfano, Mabwepande ni pembezoni mwa Kinondoni, hivyo siyo Urban Proper japo iko mjini Dar,
 
mbona mnaishambulia dar,kwani tunalinganisha dar na arusha,point ni kwamba arusha haina hadhi ya kuitwa jiji(bado kuna vigezo vinanakosekana),so ni bora iwe municipal wakati bado wanajipanga zaidi ili kuwa jiji lililokamilika.
 
Hahahahaha

Leo naona wanaapolo wamekuwa wakali kwelikweli.

Haya tudevelop.....
 
Hata Dar haina hadhi ya kuitwa jiji...

Jiji gani hadi leo karibu nusu ya wakazi wanatumia maji ya visima...

Ikitokea hitilafu kidogo tu barabarani watu lazima wapate emergency leave maana ndio barabara haitapitika hivyo...hakuna alternative routes.

Zaidi ya 50% ya Dar imejengwa kiholela kuna baadhi ya sehemu mtu wa nyumba jirani akiachia hata ushuzi kidogo basi hiyo disturbance yake hadi nyumba ya pili wanaipata...
Dar ingekuwa jiji muda huu niandikavyo hii post nisingekuwa nimekuja kuchaji simu hapa Kilimani Pub...maana umeme umekatwa tokea asubuhi hivyo.
 
Dar kuna baadhi ya maeneo tu yanauhafadhali ila 85% of it ni pachafu na pananuka, unplanned, very uncivilized inhabitants, ila wanajifanya wanajua kuliko jua , halafu unakuta hajua kama hajui zoba hata mtoto wa chekechea Ara anamfunika kwa ujanja, watu wanatoka mikoa na wanatoa , wenyeji wamekaa kuloga tu..dar ni mahali pekee ambapo unaweza kuishi kwa kutumia mdomo wako, ila arachuga bila kupiga mishe za ukweli hupati hata bati, mjanja wa dar anakufa njaa ara, ila mjanja wa ara hawezi kulala njaa bongo tofauti ndio hiyo..nyingine kubwa dar matozi wengi halafu hawana hela maneno meeeengi yaani mpak amtu unatamani kumzaba mtu makofi atulie, ara pesa mbele, huna pesa get a life, hakuna maneno, watu pesa wanazo, sio za kuganga njaa, ndio maana nademu wa bongo wanapenda sana machalii wa ara, maana wananguvu, waukweli hawana sound za kiisidingo, ni kazi tu, halafu hawali chipsi, bao moja chali, huku ni nyama choma na supu daile, unapiga kazi mpaka demu kesho anataka tena, niaje eroo,
 
Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.

Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.
Mtoa mada umeleta kitu heavy, tatizo ni kwamba haukuweka vielelezo kusupport topic yako. Worldwide, City Status mara nyingi huwa inaambatana na job creation, better infrastructures, better waste management and eradicating corruption. Kama city haina vigezo hivi 4, at least by 50% basi ujuwe kunawalakini.
 
WIKIPEDIA: Cities generally have complex systems for sanitation, utilities, land usage, housing, and transportation. The concentration of development greatly facilitates interaction between people and businesses, benefiting both parties in the process. A big city or metropolis usually has associated suburbs and exurbs. Labda si vibaya tuanzie kwenye hii definition ya Wikipedia kuangalia vigezo vya mji kuitwa CITY.
 
Kweli bangi nibangue hata baba yako anakuwa kama sisimizi.
 
Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.

Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.
Sasa ukiibeza Arusha hivyo na Mbeya na Mwanza utasemaje?
 
Mimi nilikuwa Arusha mwaka jana, na kwa kweli nilifurahishwa sana na mabadiliko niliyoyakuta baada ya miaka mingi. Lakini vilevile nilisikitishwa sana na jinsi mji ulivyokuwa na vurugu na ubovu wa miundo mbinu. Kwa mfano:
Soko kuu la mjini na soko la Kilombero yanahitaji usaidizi wa hali ya juu. Watu ni wengi sana, kiasi kwamba inabidi lijengwe soko linguine, tena nje ya mji ili kupunguza msongamano wa watu. Sidhani kama wale wafanyabiashara wanaopanga vitu chini, pale nje ya haya masoko, wanaridhika na ile hali
(Kwa soko kuu la mjini) Watu wanaofanya biashara, upande wa magharibi ma soko kuu karibu na (Petro Station zamani ilikuwa inamlikiwa na familia ya LUKUMAI) watafutiwe sehemu nyingine ya kufanya biashara badala ya kufunga barabara yote. Ni hatari sana kwa usalama wa raia.
Mji wa Arusha hauna barabara. Kila kitu lazima kipitie Uhuru Road. Matokeo yake hii barabara imekuwa kama kichochoro. E.g. Kiford kinatoka majengo JR kwenda mjini lazima waingie Uhuru Road vinginevyo hakuna safari. Kuna barabara ya kupitia Sakina, ambayo ingekuwa njia mbadala kwa wakazi wa Majengo JR na Sakina, lakini haifai kwa makongoro. Mji una barabara 4 tu: Uhuru road, barabara ya Sakina/Namanga, Barabara ya Njiro na Moshi Arusha. Ni barabara chache sana.
Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri beid Unatisha. Yaani A-Town inhitaji uwanja mpya. Uwanja unatia kichefuchefu.
Mitaa ya Bondeni na Majengo, karibu na standi ya mabasi ni hatari tupu. Kuaanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni hapapitiki. Bidhaa mpaka barabarani. Ukiwa ni gari kasheshe tupu. Yaani sehemu haipitiki. Ni hatari kwa maisha ya watumiaji.
Takataka zimezagaa mji mzima utafikiri mji hauna wasimamizi au watu hawalipi kodi.
Kulikuwa na mpango wa kujenga barabara upande wa SINONI ili kupungza msongamano Uhuru Road, sijui kama hilo limefanyika. Wageni wote wanalalamika tatizo la traffic mjini Arusha. Ni hatari sana kuvuka barabara. Madereva wa viford, bodaboda, mikokoteni na baiskeli hawaheshimu sheria za barabarani. Inaonekana Jiji halina suluhisho la hili tatizo.
Maeneo mapya yanayogawiwa kwa wananchi bado hayaendelezwi na serikali. Hakuna barabara, mifereji ya maji machafu, wala sehemu za mapumziko. Mfano mzuri ni NJIRO Barabara mbaya, hakuna mitaro ya maji machafu n.k
AJIRA: Vijana wengi, tena wenye nguvu za kufanya kazi hawana ajira. Ni kweli kwamba SEKTA ZA UTALII, MADINI NA USAFIRISHAJI zinatoa ajira kwa wananchi, lakini inabidi sekta ya viwanda ipewe kipaumbele. Hii itasaidia sana kukuza ajira na kuongeza pato la JIJI.
Administration ni zero!!!!! Ili mji uwe mji uende kama mji, unahitaji transportation, communication, electricity, water supply for human consumption, policing, garbage collection and sewer system. Na hapa ndipo Management imara inapohitajika, vinginevyo ni CHAOS. Laissez-faire approach kwenye city management ni MAJANGA. Huu ni mtazamo wangu tu.:A S 103:
 
Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.

Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.

-------- wewe sasa unasemea hapa jf? peleka malalamiko yako ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI
 
Hapo kwenye msimbazi,hao lazima watakua ni wazaramo wa Dar,maana demu wa Kiarusha hakubali sound mkuu.
Huku Arusha mademu cheaper ni wazaramo tu,na angalau wanapata chochote kutokana 'vishanga'wanavyovaa.
Chezeya Arachuga weye.
Njo Arachuga upate filigisi ya kusaga na ubwabwa bhana.
Arusha oyeeeeeeeeeeee!

..........haaa..haaa.....haaaa ! firigisi ya kusaga na mayai machanga, hiyo kitu iko Arachuga tuu, pale Keni Garden.
 
Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.

Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.

Mimi nilikuwa Arusha mwaka jana, na kwa kweli nilifurahishwa sana na mabadiliko niliyoyakuta baada ya miaka mingi. Lakini vilevile nilisikitishwa sana na jinsi mji ulivyokuwa na vurugu na ubovu wa miundo mbinu. Kwa mfano:
Soko kuu la mjini na soko la Kilombero yanahitaji usaidizi wa hali ya juu. Watu ni wengi sana, kiasi kwamba inabidi lijengwe soko linguine, tena nje ya mji ili kupunguza msongamano wa watu. Sidhani kama wale wafanyabiashara wanaopanga vitu chini, pale nje ya haya masoko, wanaridhika na ile hali.
(Kwa soko kuu la mjini) Watu wanaofanya biashara, upande wa magharibi ma soko kuu karibu na (Petro Station zamani ilikuwa inamlikiwa na familia ya LUKUMAI) watafutiwe sehemu nyingine ya kufanya biashara badala ya kufunga barabara yote. Ni hatari sana kwa usalama wa raia.
Mji wa Arusha hauna barabara. Kila kitu lazima kipitie Uhuru Road. Matokeo yake hii barabara imekuwa kama kichochoro. E.g. Kiford kinatoka majengo JR kwenda mjini lazima waingie Uhuru Road vinginevyo hakuna safari. Kuna barabara ya kupitia Sakina, ambayo ingekuwa njia mbadala kwa wakazi wa Majengo JR na Sakina, lakini haifai kwa makongoro. Mji una barabara 4 tu: Uhuru road, barabara ya Sakina/Namanga, Barabara ya Njiro na Moshi Arusha. Ni barabara chache sana.
Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri beid Unatisha. Yaani A-Town inhitaji uwanja mpya. Uwanja unatia kichefuchefu.
Mitaa ya Bondeni na Majengo, karibu na standi ya mabasi ni hatari tupu. Kuaanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni hapapitiki. Bidhaa mpaka barabarani. Ukiwa ni gari kasheshe tupu. Yaani sehemu haipitiki. Ni hatari kwa maisha ya watumiaji.
Takataka zimezagaa mji mzima utafikiri mji hauna wasimamizi au watu hawalipi kodi.
Kulikuwa na mpango wa kujenga barabara upande wa SINONI ili kupungza msongamano Uhuru Road, sijui kama hilo limefanyika. Wageni wote wanalalamika tatizo la traffic mjini Arusha. Ni hatari sana kuvuka barabara. Madereva wa viford, bodaboda, mikokoteni na baiskeli hawaheshimu sheria za barabarani. Inaonekana Jiji halina suluhisho la hili tatizo.
Maeneo mapya yanayogawiwa kwa wananchi bado hayaendelezwi na serikali. Hakuna barabara, mifereji ya maji machafu, wala sehemu za mapumziko. Mfano mzuri ni NJIRO Barabara mbaya, hakuna mitaro ya maji machafu n.k
AJIRA: Vijana wengi, tena wenye nguvu za kufanya kazi hawana ajira. Ni kweli kwamba SEKTA ZA UTALII, MADINI NA USAFIRISHAJI zinatoa ajira kwa wananchi, lakini inabidi sekta ya viwanda ipewe kipaumbele. Hii itasaidia sana kukuza ajira na kuongeza pato la JIJI.
Administration ni zero!!!!! Ili mji uwe mji uende kama mji, unahitaji transportation, communication, electricity, water supply for human consumption, policing, garbage collection and sewer system. Na hapa ndipo Management imara inapohitajika, vinginevyo ni CHAOS. Laissez-faire approach kwenye city management ni MAJANGA. Huu ni mtazamo wangu tu.:A S 103:
 
Ara chuga ni pa ukweli kuanzia madini,biashara,kilimo almost everything bila kusahau inaingiza pato la taifa kubwa sana. labda wewe umeangalia kigezo cha kutokuwa na bahari ndo maana unapondea ila Arachuga oyeee

kuna mdau alileta link kutoka NBS ya mikoa inayoongoaza kuingiza pato la taifa,ambayo ni;

1.Dar es Salaam
2.Iringa
3.Mwanza
4.Shinyanga
5.Mbeya
jipangeni wana Arusha,kwa population bado sana,alafu ule mji ni mdogo for real ila tambo nyingi zisizo na maana
 
Back
Top Bottom