Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

hawavitembelei wala kuvikagua watajuaje mapungufu
Ndio mana watu wanasema tcu ni walanguzi tu!kama kila mwanafunzi analipa elfu ishirini kwa mwaka.Ili tume za taaluma ziundwe ili kufanya mambo kama haya na posho,usafiri kila kitu wanapewa na michango ya wanafunzi na bado hawafanyi,si wakudharauliwa hawa?.
 
ni vigezo gan vinachukuliwa ili kiitwe chuo kikuu na wao wanafunz wamegundua vigezo gan vimemiss pale kinachowasumbua wa arusha ni wivu kusikia wenzao songea wanapelekwa udom ivo wanafanya kuishinikiza tcu itoe tamko la kuwapeleka uko akuna kingine wanakidai chuo waliomba wenyew iweje leo unataka upelekwe kwingine wakat matatizo ulokuwa unadai umeshatatuliwa
Kwani UDOM kuna nini? Si ni cha Kata pia?
 
sasa wewe unadhani atatoka wapi kwenye vyuo vya serikali elimu uozo mtupu kazi yao ni kuwarundikia masomo maengeneer ,mifumo mibovu wakifuta vyuo ivyo waondoe na shule za private zinazonunua mitihani kwa lengo la kujipatia sifa ya ufaulu mzuri eti kuna wahitimu 100 wote division 1 na 2 si uchizi uu ata kwa mungu ni dhambi...

Mkuu inaonesha wewe ni mhanga wa vyuo vya aina hii, vingine viko kwenye magodown ya bia (beer). Kwa shule yenye kiwango kizuri cha walimu, vitendea kazi vizuri na mazingira mazuri ya kusomea siyo ajabu wanafunzi 100 kupata division 1 na 2 au wote kupata division 1. Kumbuka hata selection yao kupata wanaojiunga kidato cha kwanza ni kwa mitihani ya kiwango ambacho wale wa kuchechemea hawawezi kupata nafasi.

Tuliangalie katika ukweli wake tukiweka ushabiki wa vyuo pembeni, hivi mwanafunzi anayejoin say University of Dar es salaam sifa zake zinalingana na yule anayejoin say St. Joseph University? Tukubali tu kwamba hivi vyuo vimeota kama uyoga na vingi havina sifa, na hata wanaosoma vyuo hivyo wanalitambua hilo lakini ndo hivyo tena watafanyaje kwa sababu wanaitaka "elimu ya juu". Ukweli ubaki pale pale kwamba baadhi ya vyuo havina sifa.
 
Ngoja waje waliopo kwenye hicho chuo watatueleza,mm nilimaliza katika hicho chuo mwaka 2003 sina gabari nacho toka hapo.
 
Hivi hivyo vyuo huwa mnavichagua wenyewe au mnapangiwa na TCU kwa bahati mbaya? Kwanini msome vyuo vya kijanja janja wakati vyuo vyenye sifa vipo ila kona?
 
Dahhh nashindwa kuelewa nn shida hasa ya chuo hiki

Inaelekea hata TCU kuna tatizo pia. Labada kilichobadilika tumeingia awamu ya tano na wenyewe sasa wanaogopa kutumbuliwa. Matatizo vyuoni ni mengi tu labda tunahitaji TWAWEZA au HAKI ELIMU ya elimu ya vyuo vikuu.
 
Hivi hivyo vyuo huwa mnavichagua wenyewe au mnapangiwa na TCU kwa bahati mbaya? Kwanini msome vyuo vya kijanja janja wakati vyuo vyenye sifa vipo ila kona?
maisha technique ..kwani huijui competition ya vyuo mkuu..watu wanatumia technique ya kuingia kwenye system then mambo mengine yanajiseti yenyewe ..mfano vijana wanatolewaa songea to SUA wengine to UDOM n.k tumia ubongo wa kushoto mkuu kufikiri
 
Back
Top Bottom