Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

wcasc

Member
Feb 21, 2016
19
3
Baada ya kufungwa kwa chuo kikuu cha St. Joseph tawi la Songea, wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph Arusha wamekuwa katika hali ya wasiwasi wakiogopa kama ya waliowakuta wenzao wa Songea na kuleta hali ya sintofahamu chuoni hapo.

St.joseph Tawi la Arusha kimefungwa chuo hicho rasmi hadi hapo NOTICE itakapotolewa.

Wanafunzi wametakiwa kurudi Nyumbani kwao, hadi hapo taarifa itakapotolewa.
IMG-20160224-WA0025%255B1%255D.jpg
 
hivi inakuwaje wanafunzi wanafanya fujo vyuoni...ni sababu ya vyuo vyenyewe au serikali kupitia bodi ya mkopo!
 
Daaah... JIPU la TCU litatumbuliwa Lini???
Mwenye Mawasiliano ya Prof. Ndalichako naomba mumfikishie Hii.
 
Kumekuwa na utitiri wa shule za awali.shule za sekondari na vyuo kwa muda mrefu sana sasa.Kwa jinsi institutions hizi zilivyo nyingi naamini serikali haina uwezo wa kuvichunguza vyote ili kuhakikisha kwamba vinakidhi viwango vinavyotakiwa.Lakini pia kwa jinsi ufisadi ulivyokuwa umeshamiri nchini mwetu,naamini pia kwamba vingi ya vyuo hivyo vilipitia milango ya nyuma ili kupewa vibali.Nadhani ni wakati muafaka sasa kwa serikali yetu kufanya uchunguzi upya,ili kujiridhisha kwamba kila learning institution ina viwango vinavyotakiwa.Si ajabu utendaji mbovu serikalini umechangiwa na wahitimu wa vyuo hivyo.
Baada ya kufungwa kwa chuo kikuu cha St. Joseph tawi la Songea, wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph Arusha wamekuwa katika hali ya wasiwasi wakiogopa kama ya waliowakuta wenzao wa Songea na kuleta hali ya sintofahamu chuoni hapo.

St.joseph Tawi la Arusha kimefungwa chuo hicho rasmi hadi hapo NOTICE itakapotolewa.

Wanafunzi wametakiwa kurudi Nyumbani kwao, hadi hapo taarifa itakapotolewa.
IMG-20160224-WA0025%255B1%255D.jpg
 
Wanafunzi wa vyuo hivi wana haki ya kimsingi ya kupiga kelele. Katika vyuo hivi hakuna shule. Lakini TCU inaacha kuwapeleka vyuo vya serikali inawapeleka vyuo hivi. Pamoja na Kampala University. Mtakumbuka kelele zilizopigwa miaka ya nyuma. Pamoja na hivyo BODI ya mikopo inawapa pesa hata kuzidi vyuo vya serikali. Eti na engineers registration Board best students wanatoka kwenye vyuo hivi. Ni aibu kwa taifa ni kuuwa elimu na nchi kwa ujumla.

Tuombe waziri muhusika hili suala lichunguze
 
Back
Top Bottom