Arumeru: Akatwa Uume na Mkewe kisha kutupwa uvunguni mwa Kitanda Usiku Manane

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,614
Reaction score
40,161
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Baraka Melami (40) mkazi wa kitongoji cha juhudi kijiji cha Olevolosi kata kimnyaki wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekatwa uume wake na mkewe anayejulikana kwa jina la Anna Melami miaka (30) usiku wa kuamkia tar 19 saa saba usiku.

Akisimulia kisa hicho Baraka amesema kuwa jana usiku mkewe alimsogelea kitandani akijua anataka kufanya tendo la ndoa lakini baada ya baraka kupata hisia mkewe alishika kisu na kukata sehemu hiyo ya siri na kuiondoa kabisa kisha kuitupia chini ya uvungu wa kitanda.

Amesema kuwa kwa kuwa alijua mkewe nia yake ni njema pia alifungulia radio sauti ya juu na hata Baraka alipokuwa anapiga kelele kuomba msaada hakuna mtu alimsikia mpaka alipotoka nje na kupiga kelele na watu kumsaidia kumkimbiza hospitali.

Hata hivyo Baraka ameomba watanzania wenye nia njema wamsaidie matibabu ambapo kwasasa amelazwa katika hospitali ya Selian ya Ngaramtoni Arusha.

Mwenyekiti wa Kitongoji hicho cha Juhudi bwana Jonas Kisite amethibitisha kutokea kwa tukio hilo baada ya kupigiwa simu majira ya usiku na majirani wa Baraka.
 
Itakuwa mke aliambiwa kuwa mume wake anachepuka na mtu wanayemfahamu. Akaona isiwe tabu, ondoa hicho kiungo cha uazazi kibaki kikojoleo tu.
 
Duh hatari sana hawa watu wa Arusha na moshi.yaani jamaa kajiandaa kupiga mashine kumbe mwenzake anawaka kuikata.wachaga hatari sana
Sio mchaga ni mmeru
 
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Baraka Melami (40) mkazi wa kitongoji cha juhudi kijiji cha Olevolosi kata kimnyaki wilayani Arumeru Mkoani Arusha amekatwa uume wake na mkewe anayejulikana kwa jina la Anna Melami miaka (30) usiku wa kuamkia tar 19 saa saba usiku.

Akisimulia kisa hicho Baraka amesema kuwa jana usiku mkewe alimsogelea kitandani akijua anataka kufanya tendo la ndoa lakini baada ya baraka kupata hisia mkewe alishika kisu na kukata sehemu hiyo ya siri na kuiondoa kabisa kisha kuitupia chini ya uvungu wa kitanda.

Amesema kuwa kwa kuwa alijua mkewe nia yake ni njema pia alifungulia radio sauti ya juu na hata Baraka alipokuwa anapiga kelele kuomba msaada hakuna mtu alimsikia mpaka alipotoka nje na kupiga kelele na watu kumsaidia kumkimbiza hospitali.

Hata hivyo Baraka ameomba watanzania wenye nia njema wamsaidie matibabu ambapo kwasasa amelazwa katika hospitali ya Selian ya Ngaramtoni Arusha.

Mwenyekiti wa Kitongoji hicho cha Juhudi bwana Jonas Kisite amethibitisha kutokea kwa tukio hilo baada ya kupigiwa simu majira ya usiku na majirani wa Baraka.
Shida nini sijekuwa mkewe alitambua kuwa ni msaliti wa taifa tu?
 
Sasa Mwnaume mzima na urijali wale anakuwa CCM unategemea nini

Hili ni Onyo kwa Lucas Mwashambwa
163192.jpg
 
Wanawake wa Kimeru ni Wamachame( wapalestina) waliochangamka zaidi kwa kuongeza bhangi
 
Manka si bora uniue kuliko kunikata mjerebang! Ntaambia nini ile totooo nikiiwekeaga mtalimbo inalia mpaka ma shekh wanakuja 30 kama dec 9?
 
Hizi kesi zimezid Sasa wanawake wameona njia ya kumkomoa mwanaume ndo hiyo mmmh hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom