Artificial Intelligence (AI) kwenye betting

Artificial Intelligence (AI) kwenye betting

Utapoteza hela tu mkuu mimi mwenyewe naiskia kijuujuu tu. Ila kifupi mfano unaenda kariakoo unanunua maji kwa mia 4 unasogea posta fasta unauza kwa mia 5, process inakua hiyo. Waangalia utofauti wa odds katika site tofauti wanachezesha chezesha humo. Nayo si kazi rahisi
Mzee sina mchongo wowote nataka nijaribu kubeti labda nitakuza hela
 
Watu mna roho ngumu sana...

Hii kitu sijawahi waza na sidhani,
Pamoja na kua nina ushuhuda wa mwana kushinda 37M miezi iliyopita, ila sijashawishika, kule siweki hata mia yangu.
 
Ni mambo ya probabilities, wanaopiga hela ya maana wanakua wachache wengi wanapoteza ndo model ya biashara ya betting.

Unaweza kuwa mmoja wa hao wachache
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom