Arthur Peter Mutharika, Rais Mwenye Ulinzi Mkali Mno Africa

Arthur Peter Mutharika, Rais Mwenye Ulinzi Mkali Mno Africa

Hatari sana... anaishi kwa mashaka...

Na ma-Rais kama hao wenye ulinzi mkali hivyo, hujaga kusalitiwa na majeshi yao wenyewe, na kupinduliwa...


Cc: mahondaw
 
Mutharika ni hatari mcheki MBC mikutano yake utadhani anahutubia wahalifu sasa hivi kazingirwa na wana usalama wengiiii
.
Kuna neno analitamka sana "kwa mbili" maana yake ni nini kwa anayejua?
 
Kabila aliuliwa na dogo tena kwa risasi chache kabisa
 
Anza na hizi hapa...
Uzi bila picha bado aujakamilika
IMG_20190915_175816.jpg
IMG_20190915_175927.jpg
Screenshot_20190915-175044.jpg

Hapo 👇 Inakisiwa hata bodyguard huwa anaenda sawa kwenye hatua..!

Screenshot_20190915-174455.jpg
 
Back
Top Bottom