Arthur Mwakapugi Afariki Dunia

Arthur Mwakapugi Afariki Dunia

Mimi ni mwanafamilia Mkuu alikua mjomba wangu kabisa
Mkuu wacha watu wajisemee maana hawamfahamu Arthur Mwakapugi.
Alikuwa mtu mwema, mchapakazi, mwadilifu na licha ya cheo chake hakuwa na majivuno.

Kwamba alikuwepo wakati wa Richmond ni accident in history, being at the wrong place wrong time, kati kati ya ma mbwa mwitu na ma mbweha.
Mimi nilifahamiana naye personally na nikiwa mtumishi serikalini alinipeleka Singapore kati ya watumishi wengine, na wala sikujua kuwa ni yeye alitayarisha safari ile hadi tuliporudi, naye aliniambia hivyo several months later.

Maana yake ni kwamba hakuwa na tamaa na kutaka vizawadi zawadi kwa wema aliotenda, kama mtu ni mwaminifu na hana tamaa kwa vidogo je atakosa uaminifu kwa makubwa?
Wale wamsemao vibaya bila kumjua wanajilaani wenyewe kwa midomo na mawazo yao.
RIP Arthur na Mungu akupumzishe salama.
 
Mentality ya watu walio wengi kuwa kila walioko serikalini ama taasisi za umma ni CCM, hivyo kuwakejeli, kuwatusi, kuwadharau itawakosti..... NB: USISAHAU KAULI KUWA FULANI HANA HAJA NA KURA LAKI NNE...... vivyo hivyo kwa vyama vingi vya upinzani.... hudhani kila POLISI, TRA, TANAPA, BANDARI, TANESCO, WIZARANI, N.K ni makada wa CCM.....
"If you start with a wrong premiss you will end up with a wrong conclusion"
 
Ahsante alishapumzishwa tukuyu amekufa na mazito ya Richmond acha tu mkuu

Pole sana lusungo,
Je kuna mlilolifahamu kuwa inawezekana kuna uhusiano wa kifo chake na kesi ya Richmond?
Poleni sana!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wacha watu wajisemee maana hawamfahamu Arthur Mwakapugi.
Alikuwa mtu mwema, mchapakazi, mwadilifu na licha ya cheo chake hakuwa na majivuno.

Kwamba alikuwepo wakati wa Richmond ni accident in history, being at the wrong place wrong time, kati kati ya ma mbwa mwitu na ma mbweha.
Mimi nilifahamiana naye personally na nikiwa mtumishi serikalini alinipeleka Singapore kati ya watumishi wengine, na wala sikujua kuwa ni yeye alitayarisha safari ile hadi tuliporudi, naye aliniambia hivyo several months later.

Maana yake ni kwamba hakuwa na tamaa na kutaka vizawadi zawadi kwa wema aliotenda, kama mtu ni mwaminifu na hana tamaa kwa vidogo je atakosa uaminifu kwa makubwa?
Wale wamsemao vibaya bila kumjua wanajilaani wenyewe kwa midomo na mawazo yao.
RIP Arthur na Mungu akupumzishe salama.

Mkuu umeongea ukweli tupu..

Watu wasiomjua wanaongea wasolijua...

Ktk suala la Richmond jamaa hakupata mlungula wowote na aliingia kwenye tope lile kwa shinikizo zito....

Mpaka anastaafu alijijutq sana kuwemo ktk suala hilo hata kifo chake kimechangiwa na presha
 
Mentality ya watu walio wengi kuwa kila walioko serikalini ama taasisi za umma ni CCM, hivyo kuwakejeli, kuwatusi, kuwadharau itawakosti..... NB: USISAHAU KAULI KUWA FULANI HANA HAJA NA KURA LAKI NNE...... vivyo hivyo kwa vyama vingi vya upinzani.... hudhani kila POLISI, TRA, TANAPA, BANDARI, TANESCO, WIZARANI, N.K ni makada wa CCM.....
"If you start with a wrong premiss you will end up with a wrong conclusion"

Wamesahau kuna watu hawana tamaa ya Mali...hawana majivuno wala choyo...

Miongozi mwa maofisa waandamizi waliokua hawana doa huyo mmoja wao...

Watu hudhani kila ashikaye nafasi kubwa huwa fisadi wakati baba zetu wamestaafu utumishi wa umma wakiwa na positions kubwa bila kuiba chochote...
 
Huu msiba haujapewa promo kabisa

Mkuu wiki juzi kesi ya Richmond ilianza kufukuta na kuna shahidi alimtaja wazi hivyo alikuwa mtu muhimu wa kusaidia maelezo mahakamani akafariki ghafla...

Kuutangaza ingekua ni kuamsha upya mjadala wa Richmond ndo maana ikawa kimya...

JK aliongoza ibada ya kumuaga pale mikocheni
 
Mkuu wewe usiyeiba hutakufa?

Ninafikiri lengo lake ni kuonyesha hisia zake dhidi ya wadhalimu wanao lifilisi hili taifa, huku wakilindwa na watawala kwa kutumia mwamvuli wa kukinusuru chama kwakuwa huyu ni mwenzetu.
 
Back
Top Bottom