afadhali kwakweli kama ni kweli
haya aende akajibu kesi ya RICHMOND KWA MUUMBA HAYA NA MLIYEFICHA KULEEEEE MBALI IKO SIKU ATAKUFA TENA NAMAANISHA YULE MHEHE WA KIMAREKANIpole sana kama wewe ni mwana familia na ni mjomba wako tufikishie kwa familia yenu salaam kutoka kwa wana jf wote
haya aende akajibu kesi ya RICHMOND KWA MUUMBA HAYA NA MLIYEMFICHA KULEEEEE MBALI IKO SIKU ATAKUFA TENA NAMAANISHA YULE MHEHE WA KIMAREKANIpole sana kama wewe ni mwana familia na ni mjomba wako tufikishie kwa familia yenu salaam kutoka kwa wana jf wote
wote walioiba mali ya umma wafage tu mi natamani waliokura hera kwa siku 68 bila kupatikana katiba na kuchakachua maoni ya wananchi na kuleta ya kwao ya mbili wakati ya wananchi ni tatu wafe kabisa tena vifo vibaya na vya mapema na waende motoniafadhali nini ?haaa
wote walioiba mali ya umma wafage tu mi natamani waliokura hera kwa siku 68 bila kupatikana katiba na kuchakachua maoni ya wananchi na kuleta ya kwao ya mbili wakati ya wananchi ni tatu wafe kabisa tena vifo vibaya na vya mapema na waende motoni
Gamba limepepea... Huyu si ni miongoni mwa walioneemeka na Richmond.? mimi sina usemi ila apate haki yake stahili kwa mujibu wa sheria za mbinguni.!
Concentrate kulia mkuu, ushatoa taarifa inatosha! Au huna machungu ya kufiwa na uncle?
Ati wengine wanasemanga RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA!! si ni akistahili raha atapewanga raha? Na ikiwa amechanguliwa na ile pande ingine si ni basi hiyo ndio raha yake? Ila napita tu maana apandacho mtu ndicho apandacho.
Oohps!!! Nilimaanisha apandacho mtu ndicho avunacho.
Mola mlaze panapostahili...
Magamba yanapukutika......poleni Wafiwa
Ahsante alishapumzishwa tukuyu amekufa na mazito ya Richmond acha tu mkuu