Arthur Mwakapugi Afariki Dunia

Arthur Mwakapugi Afariki Dunia

Msiba upo mikocheni karibu na ifakara health centrr

Ni matumain yangu wanaJF watasogea kuja kukupa pole maana unatoa mchango mkubwa humu maana kwa mambo kama haya watanzania bila kujali itikadi zetu huwa wamoja
 
Ni matumain yangu wanaFJ watasogea kuja kukupa pole maana unatoa mchango mkubwa humu maana kwa mambo kama haya watanzania bila kujali itikadi zetu huwa wamoja

WanaFJ , ndo nini mkuu!
 
Hongereni nyie msio na miili ya kuharibika

Maccm yangelitambua ilo tusingewaona na kiburi, majivuno na tambo zisizo na mashiko. Utafikiri Guadalajara!...hayo mabilioni wanajilimbikizia ili iweje.
 
Je maiti yake ipo hapa bongo au yale yale ya gavana wetu wa BOT.

Aisee mimi pia nimepata shida kwenye hilo maana ametajwa kama mtu muhimu kwenye Kesi ya Richmond na ilikuwa ni mtu ambaye angeweza kutoa information ambazo zingeweka wazi baadhi ya mambo!

Kwa hili kwa kwelu ni vema tukawekwa wazi juu ya kifo chake isije kuwa ni kupoteza ushahidi!
 
Magamba yanapukutika......poleni Wafiwa

Biblia imeandika hakika mtakufa hili ni agizo la mungu mwenyewe. Usijifanye wewe utaishi milele yote. Hamna aliye mwema duniani lakini kazi ya kuukumu ni ya mungu mwenyewe. Mrudie mungu wako. R.I.P Mwakapugi.
 
Back
Top Bottom