Arthur Mwakapugi Afariki Dunia

Arthur Mwakapugi Afariki Dunia

Sio vizuri kufanya mizaha kwenye misiba. Sio utamaduni wa Kitanzania huu. Mungu awe pamoja nanyi wafiwa
 
Poleni sana kwa huo msiba.Wafikishie pole zetu wafiwa wote.

Wanajamii tunafanya makosa makubwa kufikiria kila mtendaji wa serikali ni fisadi.Wengine wapo huko lakini ni wazalendo kuliko hata sisi. Pia tukumbuke haki ya kuwahukumu wafu ni ya Muumba pekee yake. Pia mjue wafiwa ni watoto wake, mke na ndugu zake, hata kama marehemu akawa ametenda kosa, hawa wafiwa wana kosa gani? Mungu awape uvumilivu na ustahimiliwa wafiwa.
Maradhi tu ya kawaida.
 
Wanajukwaa aliyekuwa katibu Mkuu nishati na madini ndugu Arthur Mwakapugi amefariki dunia.

Mungu ailaze roho yake pema tunamshukuru kwa upendo na kujitolea kwake kwa taifa hili...

R.I.P Mwakapugi
alitoa siri nini.. Pole zao wote waliokuwa wanamtegemeo..
 
Poleni sana wafiwa wote na ikiwezekana utatuwekea wasifu wake tufahamu nyadhifa alizoshika akiwa serikalini..
 
Poleni sana wafiwa.

Hii dunia mapito tuu, mbele yake nyuma yetu
 
r.i.p arthur
he was a great man!!!!
Nilimjua kwa muda mchache tu lakini tulifanya kazi vizuri
 
Back
Top Bottom