Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tulieni Hamis masingeli aliwaaminisha Bayern mbovu,, mkajisahau kua ni Bayern ni Giant kwenye mashindano kama haya, ana miaka 15 mfululizo anashiriki na kufika hatua ya 16 bora.

Bayern kweli wabovu ila sio kwa Arsenal hii yenye forward Kai
 
tapeli ball
 

Attachments

  • IMG_20240409_015735.jpg
    IMG_20240409_015735.jpg
    186 KB · Views: 3
Back
Top Bottom