Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal inahitaji MSHAMBULIAJI(GOAL SCORER) hili tumelipigia kelele sana imagine tumeshika chupi mkononi wakati game ilitakiwa iishe half time ball possession 85 for 15 but sisi roho mkononi na Champions league kwa style hii ya uchezaji kama goal la kwanza tuliroruhusu kazi ipo ,Arteta muda anao aingie sokoni na Edu walete killer goal scorer ASAP

Windows still opens,it will a mistake to sell KT, we still need a cf
 
kai hakutakiwa kumaliza dk 90 ,alishachoka mda tu sema lbd kwa kuwa forest walianza kutumia mipira mirefu na nd mana arteta akamuacha amalize game..
 
Chelsea Mungu anawaona
1691849292350.jpg
 
kai hakutakiwa kumaliza dk 90 ,alishachoka mda tu sema lbd kwa kuwa forest walianza kutumia mipira mirefu na nd mana arteta akamuacha amalize game..

Arteta is giving him more time expecting that he will miraculously proves him right for his decision to purchase him
 
So far not convinced if Kai has quality to play for arsenal
Hili jukwaa letu lina watukanaji wengi.
Yes narudia tena hapa kwa Kai na Timber tumepigwa mchana kweupe
Sisi mashabiki wa Arsenal at times tunakua cry babies sana asee.
Timber anacheza out of position na anaupiga mwingi tu.
Hivi unamjua Mtu anaitwa Bernado Silva ?? Huyu mreno hatari sana, Timber kwenye first game tena out of position alimfanya mshkaji hakua effective kabisa.
Sielewi at times tunataka wachezaji wa aina gani?
Kai bado anaadapt na system ya arsenal ila nadhani kocha anapenda namna mshkaji anavyohold mpira na jinsi anavyocheza akiwa hana mpira, mshkaji ana akili sana changamoto yake ni mzito na mpira wa arsenal uko quick kidogo. Naomba apewe muda ajiprove its too early to judge him asee.
 
Bro, how long shall we wait to see his (Kai) impact?
 
Dah 🤔
 
Against Liva au United magoli ya hivi unapigwa hata 6
bado hamjasema, na mtasema.
Arsenyo attempts 200 goli 2, halafu Forest attempts 2 goli moja.
Tena bahati yenu Taiwo Awoniyi na Elanga wameingia dakika ya 75 huko zile nafasi alizokosa Johson ndio angekua ameanza Awoniyi jukwaa lingejaa matusi hili leo.
Kwa hizi statistics halafu bado mlikua mnabana phumbu na kutamani mpira uishe aibu nimeona mimi.

#Arsenyo ni ileile tu juzi, jana na leo.
1691849621858.jpg
 
Back
Top Bottom