Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hehehehe Man Utd imekuwa ikimfunga Arsenal miaka yote bila kujalisha ipo vzr au vby, wewe shikilia msimamo wako kwamba kocha hafai lkn usimkosoe kocha kisa kafungwa na Man Utd team iliyowafunga Villarreal na Atalanta ambazo ni kubwa kuliko Arsenal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Stick to your team, you talk like you know arsenal ins & out, mijadala ya kitoto hiyo hatupo hapa kushindanisha timu na wewe, You won 3-2 inatosha.
 
Kwangu haukuwa usiku mbovu mno. Mimi huwa naangalia zaidi ya match results.

We are doing good.

COYG
Nakuelewa mkuu, binafsi nilikuwa disappointed kwanini hatukulearn from our game vs Liverpool, all in all united match was a big lesson to our young players, nachokiina Arsenal ni inferiority complex kuna disconnection btn instructions and excution, haiwezekani kila game after leading a goal then we sit off.
 
tupo na Everton keshokutwa...yaliyopita yameshaisha.
 
Kwa mwalimu Arteta Mzee weka heaabu za Nafasi za Europa Mungu akisaidia vinginevyo hata nafasi za Ile ligi Mpya Conference Cup pia hatumo.

Kifupi team haina Mwalimu, kwa ukubwa na ubora wa wachezaji tuliona nao Yule Babu angekuwa anatuning'iniza pale juu na wale miamba.

Bila kukubali kuwa malengo ya kumtegemea Arteta hayatatimia mark time zitaendelea na process itakuwa ya milele.
Hao wachezaji wenye ubora ndy hao kina lukonga?
 
Hehehehe Man Utd imekuwa ikimfunga Arsenal miaka yote bila kujalisha ipo vzr au vby, wewe shikilia msimamo wako kwamba kocha hafai lkn usimkosoe kocha kisa kafungwa na Man Utd team iliyowafunga Villarreal na Atalanta ambazo ni kubwa kuliko Arsenal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah kaka umefatlia kweli mech sita za mwsho man u against arsnal draw tatu arsenal kashnda tatu hii y juzi ndo mmeshinda sas iyo man u kumfunga arsenal ni detail sa lin labda
 
Hiyo inferiority complex ndio maana Roman Abromovich haitaki, anasajili mashine za kubeba UEFA.

Ina maana kweli mashabiki wa Ase8 wa kizazi hiki mtakufa bila kushuhudia timu yenu kubeba UEFA jameni?

Mungu awasaidie ndani ya miaka 30 ijayo angalau mbebe EUROPA.
Hayo ni maoni yako tu which is emotional than logical, hii timu ya Martinelli, Saka & Lokonga itachukua mataji yote.
 
Hehehehe Man Utd imekuwa ikimfunga Arsenal miaka yote bila kujalisha ipo vzr au vby, wewe shikilia msimamo wako kwamba kocha hafai lkn usimkosoe kocha kisa kafungwa na Man Utd team iliyowafunga Villarreal na Atalanta ambazo ni kubwa kuliko Arsenal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya misimu mitatu iliyopita ya ligi kuu, Manchester united hakuwahi kufanikiwa kuifunga Arsenal

Stop your nonsense
 
The TEAM is getting better, for sure👏 have focus on that. Give it time , be patient and many great matches to come, they will win👍⚽️
 
Nakuelewa mkuu, binafsi nilikuwa disappointed kwanini hatukulearn from our game vs Liverpool, all in all united match was a big lesson to our young players, nachokiina Arsenal ni inferiority complex kuna disconnection btn instructions and excution, haiwezekani kila game after leading a goal then we sit off.
Again mkuu, there is a big improvement from Liverpool game.

Kwanza kocha showed kwamba he understood the weak link in our mid by starting with Elneny.

Second not everything anaweza tupiwa kocha lawama. Martin gave a stupid penalty to United, ajali kazini kaka. How can you blame a coach for that???

Third ni kwamba we managed to score 2 goals ambapo against liverpool we didn't.

Lastly, hebu chukulia huu ni mtoani, it means United wakija Emirates wakafa 1-0 then tget are dumped out.

The team is progressing, let's have our expectations clear and realistic. Nasema mara kadhaa humu kwamba our target is top 4. Mwakani our target is to cement ourselves in top four and compete for the highest position or title itself na msimu wa 2023/2024 we are going to win it.
 
Back
Top Bottom