The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Coach kashindwa kazi yakeKuna moments za kuhitaji point moja au crucial win kisha wachezaji au kocha wanafanya upuuzi.
Boko la Xhaka na red zake. Red ya Pepe. Miss za Auba, Team selection na defensive mentality.
Leo kuna uwezekano wa kurudi nafasi ya 7 kisha tukaanza na presha ya kukimbizana kurudi nafasi ya 5.
Washakuelewa mkuu, eti kocha Arteta alafu wachezaji kina Saka na Lukonga from Ukonga zen waifunge Utd yenye cr7, Bruno, Rashford, Sancho na wakali kibao, c miujiza hiiCoach kashindwa kazi yake






Ukichanga karata zako fresh your next D itatokea hapa
We umejuaje kama kashindwa kazi yake?Coach kashindwa kazi yake
Sijakuelewa mkuu, next D?Ukichanga karata zako fresh your next D itatokea hapa
Ni tusi hilo kama ulivyotukana mkuu
For example hapa unazunguka zunguka nini?hapa it means coach kashindwa duties zake ndio maana unalalama kwa coach mwenye mentality za ushindi uzembe kama huu huwezi kuuona unaona aibu kumtaja Arteta but the truth ni kuwa yeye ndiye msababishaji from kugombania top 4 last week mpaka namba 7 today na tomorrow anything can happenKuna moments za kuhitaji point moja au crucial win kisha wachezaji au kocha wanafanya upuuzi.
Boko la Xhaka na red zake. Red ya Pepe. Miss za Auba, Team selection na defensive mentality.
Leo kuna uwezekano wa kurudi nafasi ya 7 kisha tukaanza na presha ya kukimbizana kurudi nafasi ya 5.
Ushawahi manage team yoyote? Hata kwenye game ya Fifa career mode?For example hapa unazunguka zunguka nini?hapa it means coach kashindwa duties zake ndio maana unalalama kwa coach mwenye mentality za ushindi uzembe kama huu huwezi kuuona unaona aibu kumtaja Arteta but the truth ni kuwa yeye ndiye msababishaji from kugombania top 4 last week mpaka namba 7 today na tomorrow anything can happen
Tommorow pia mnagongwa kama kawaida, hawa wahuni wa humu wote watakubaliana na wewe mkuu, ila nawe wacha kumsema sema kocha tu huku unasahau kwamba Arsenal nzima ni mbovu.For example hapa unazunguka zunguka nini?hapa it means coach kashindwa duties zake ndio maana unalalama kwa coach mwenye mentality za ushindi uzembe kama huu huwezi kuuona unaona aibu kumtaja Arteta but the truth ni kuwa yeye ndiye msababishaji from kugombania top 4 last week mpaka namba 7 today na tomorrow anything can happen
Ndiyo maana naipenda ile nyimbo ya Koffi inaitwa amufira muyaya.Kesho Ni amfifiro tu .hivi mnawajuwa Everton alafu benitez kakaliwa kikao kwaiyo kesho anabamiza mtu safi
Wewe Man U hebu acha fujo bwana.Hizi mechi zote tunashinda, tuna kosi la dunia na kocha mwenye akili na anayejua anafanya nn, angalia hivi vitimu tutakavyokutana navyo, goli chache zitaanzia 3+View attachment 2034338
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal ilishakufa tangu mwaka 2005 ilipopigwa na Barca fainali ya UCL, hii iliyobaki ni kikundi cha wacheza betting kinachoibia watu pesa zao kwa mgongo wa football.Wewe Man U hebu acha fujo bwana.