milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
DUH AISEE WEWE NI KICHAA NAONA HATUELEWANI NIMESEMA WACHEZAJI WENGI WA EUROPE(WAZUNGU ACHANA NA NGOZI NYEUSI WA EUROPE) WENGI WANAPANDISHWA THAMANI WAONEKANE WAZURI WAKATI VIWANGO HAFIFUMchezaji mzuri sio pesa wewe acha ukilaza,kupata mchezaji mzuri ni jicho tu....
Unaweza mwaga mapesa ukaambulia patupu.....unasema mchezaji wa 10m-15m ni kilaza????Gabriel ni kilaza?Erriksen ni kilaza?Kurzawa?Cavani?D.James?Robbertson?Minamino?Shaqiri?
Bei ya mchezaji inaathiriwa na mambo mengi ikiwemo mkataba.....
Hujui hata Mahrez,na Kante walinunuliwa kwa bei gani na leicester.....
Hujui lolote kuhusu soka na makorokoro yake,wewe umekalia kulalama tu na kutaka wanaume,yaani kilio chako ni wanaume tu....weka mawasiliano ndugu utawapata.
Ndio maana nasemaga wewe ni wakupuuzwa ila tutakuelimisha mdogomdogo usijali.
Sent using Jamii Forums mobile app
HALAFU HAO WOTEE ULIOWATAJA YAANI WENGI NI WA SOUTH AMERICA NA AFRICA AMBAO NIMEKWAMBIA NI FIGHTERS WAKISAJILIWA HUWA WANA FIGHT MNO SASA HILI MIMI NIMEPINGA?ANGALIA UKICHAA WAKO
NAMALIZIA KWA KUSEMA ARSENAL INAHITAJI USAJILI ILA ISAJILI WACHEZAJI MASHOKA WANAUME YAANI FIGHTERS WENYE KUPAMBANA NA AMBAO WANAFAHAMIKA SANA HATA SISI MASHABIKI TUKISEMA ANASAJILIWA TUNAFURAHI MBONA WAKATI AUBA NA LACA WANATAKA KUSAJILIWA HAMNA MTU ALIYEPINGA??SABABU ILIKUWA CV ZAO ZINASOMEKA EXCELLENT!!! HAPA PIA NIMEONYESHA UKICHAA WAKO WA KUTONIELEWA
Sent using Jamii Forums mobile app