DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Nimecheka sana.....wazee wa kubandikaWamekubali kukaa mezani na wazee wa Installment
Haponi mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana.....wazee wa kubandikaWamekubali kukaa mezani na wazee wa Installment
Haponi mtu
]
Kosa kubwa sana hilo , Arsenal wakatalie kabla hamjafika kwenye meza
OZIL ndio kwanza ameanza kucheza kwa Arteta. Muda mwingi Alikuwa anapigwa bench na kanjibahi ,
UPO SERIOUS KWELI NA SWALI LAKO?SWALI LA KIJINGA SANA HILI OZIL KACHEZA MECHI NGAPI???CHINI YA FREDDIE NA ARTETA KACHEZA MECHI NGAPI SASA NA AMETOA ASSIST NGAPI??MHINDI ALIMPA NAFASI AKACHEZA PUMBA AKAMPIGA BENCHI WATU WAKALALAMIKA NOW KARUDISHWA AMEFANYA NINI?TUACHENI MASIHARA OZIL ANATAKIWA AWE CHINA INDIA AU USA NOW
ila wewe jamaa unakera sana si utoke humu ubaki kwenye uzi wa kula tunda kimasihara huko... na hizo Capital letter acha mara moja kenge wewe...UPO SERIOUS KWELI NA SWALI LAKO?SWALI LA KIJINGA SANA HILI OZIL KACHEZA MECHI NGAPI???CHINI YA FREDDIE NA ARTETA KACHEZA MECHI NGAPI SASA NA AMETOA ASSIST NGAPI??MHINDI ALIMPA NAFASI AKACHEZA PUMBA AKAMPIGA BENCHI WATU WAKALALAMIKA NOW KARUDISHWA AMEFANYA NINI?TUACHENI MASIHARA OZIL ANATAKIWA AWE CHINA INDIA AU USA NOW
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipige pige kifuani huku ukisema mimi ni mpumbavu.UPO SERIOUS KWELI NA SWALI LAKO?SWALI LA KIJINGA SANA HILI OZIL KACHEZA MECHI NGAPI???CHINI YA FREDDIE NA ARTETA KACHEZA MECHI NGAPI SASA NA AMETOA ASSIST NGAPI??MHINDI ALIMPA NAFASI AKACHEZA PUMBA AKAMPIGA BENCHI WATU WAKALALAMIKA NOW KARUDISHWA AMEFANYA NINI?TUACHENI MASIHARA OZIL ANATAKIWA AWE CHINA INDIA AU USA NOW
Sent using Jamii Forums mobile app
Ozil alitakiwa kuwa china ila wewe ulitakiwa kuwa jukwaa la kina mama kule katika mapambo...UPO SERIOUS KWELI NA SWALI LAKO?SWALI LA KIJINGA SANA HILI OZIL KACHEZA MECHI NGAPI???CHINI YA FREDDIE NA ARTETA KACHEZA MECHI NGAPI SASA NA AMETOA ASSIST NGAPI??MHINDI ALIMPA NAFASI AKACHEZA PUMBA AKAMPIGA BENCHI WATU WAKALALAMIKA NOW KARUDISHWA AMEFANYA NINI?TUACHENI MASIHARA OZIL ANATAKIWA AWE CHINA INDIA AU USA NOW
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hayo maandishi yake anakuwa kama anatukaripia vile ,wakati sisi sio bodi ya Arsenal....huyu jamaa ni empty mind......ila wewe jamaa unakera sana si utoke humu ubaki kwenye uzi wa kula tunda kimasihara huko... na hizo Capital letter acha mara moja kenge wewe...
ARTETA anajenga timu kupitia ozilOzil alitakiwa kuwa china ila wewe ulitakiwa kuwa jukwaa la kina mama kule katika mapambo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hamna kitu mzee ni wa kumuangalia tu.....hawa ndio wanaojinyongagaARTETA anajenga timu kupitia ozil
OZIL ana Fanya kazi ya Ku create chances za kufunga hata asipo assist
Ozil ni moja ya wachezaji chini ya Arteta wenye Covered Area kubwa ,humkosi top 3 kila mech
Sasa mkuu wewe endelea na lawama
Jamaa ni lawama tu ,haoni juhudi timu inazofanya kuirejesha baada ya kuharibiwa na muhindiHuyo hamna kitu mzee ni wa kumuangalia tu.....hawa ndio wanaojinyongaga
Sent using Jamii Forums mobile app

| #AFC
ACHA USHADA LA MAUA BASI DOGOila wewe jamaa unakera sana si utoke humu ubaki kwenye uzi wa kula tunda kimasihara huko... na hizo Capital letter acha mara moja kenge wewe...