Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,692
Wameendeleza record yao ya kutofungwa na timu kubwa ??????Premier League kweli kiboko! Leo Wolvehampton wameendeleza record yao ya kutokufungwa na timu kubwa leo kwenye FA CUP baada ya kuwazibua liverpool 2 kwa 1.... Naona liver anaanza kulegea mdogomdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko vizuri, tunaendelea vizuri, wale haters wanapoteza wakati wao tu..
Swala ni Board of Directors kum-support Emery tu, pesa ipo, tatizo nini?!
FA ROUND YA PILI TUMEPANGWA NA MANYUMBU
WANAKUJA EMIRATESView attachment 989080
Sent using Jamii Forums mobile app
Beki hatupati?!mashabikiwaarsenal.com
Tetesi za usajili arsenal-Yannick Carrasco,Ever Banega na Denis Suarez
january 8, 2019 by sekigwa leave a comment
Wakati dirisha la usajilila majira ya kiangazi likikamilisha wiki yake ya kwanza Arsenal imeendelea kuhusishwa na usajili wa wachezaji mbali mbali.
Leo katika tetesi za usajili za Arsenal tunakuletea taaria za wachezaji watatu ambao wametawala vyombo vya habari katika siku ya leo wachezaji hao ni Yannick Carrasco,Ever Banega na Denis Suarez.
Mtandao wa SkySport Italia unaripoti ya kwamba Arsenal inaongoza mbio za kumsajili mchezaji wa Yannick Carrasco kutoka katika timu ya Dalian Yifang inayoshiriki super league ya China.
Mchezaji huyo ambaye aliwashangaza mashabiki wengi wa soka kwa kuamua kuhamia timu hiyo ya china mwezi wa pili mwaka jana inasemekana ameshindwa kuendana na maisha ya China na sasa anataka kurudi ulaya.
Timu za Machester United na AC Milan zinatajwa kumuhitaji mchezaji huyo ingawa taarifa hiyo ya SkySport Italia inadai ya kwamba mchezaji huyo anapenda kujiunga na timu ya Arsenal.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 anaweza kupatikana kwa dau ya paundi milioni 20 na kwa sasa anapata mshahara wa paundi 154,000 kwa wiki.
Denis Suarez akaribia kutua Arsenal
Mwandishi wa kituo cha SkySport, Dharmesh Sheth ameandika leo ya kwamba Arsenal ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo Denis Suarez kutoka Barcelona.
Suarez ambaye alicheza chini ya Unai Emery akiwa na timu ya Sevilla, jana alikosa mchezo kati ya Barcelona na Getafe licha ya kusafiri na timu.
Gazeti za The Mirror linaandika ya kwamba bodi ya Arsenal imeingilia kati na kumzuia kocha wa Arsenal kumsajili kiungo Ever Banega.
Kiungo huyo ambaye alikuwa ni sehemu kubwa ya mafanikio ya Unai Emery akiwa na timu za Valencia na Sevilla ambapo wawili hao walifanikiwa kubeba kombe la Europa Ligi alihusishwa na kuhamia timu ya Arsenal katika majira haya ya usajili.
Lakini taarifa mpya ni kwamba bodi ya Arsenal imetupilia mbali mpango huo wa Emery kwa sababu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 ni ghali na pia umri umemtupa mkono, hivyo ameambiwa atafute mchezaji ambaye ni kijana.
Hii ndiyo sababu ya Arsenal kutaka kumsajili Denis Suarez ambaye ana miaka 25 na anahitaji pesa kidogo ili kuweza kusajiliwa.
Hizo ndizo tetesi kubwa za usajili wa Arsenal kwa siku ya leo, Mungu akipenda, kesho tutakuletea tetesi nyingine .
Sent using Jamii Forums mobile app
sahihi mkuu jamaa anajua na anasaidia sana kwakweli,tatizo suala hili limeshikwa na management jamaa wamegoma kumboreshea mkataba wake ......arsenal financial policy ni mwiba mchungu kwa wachezaji wakubwa na ndio maana tumeshuhudia kuondoka kwa wachezaji wengi muhimu katika nyakati ngumu sana.....ila naamini watabadilika na siku huyu kroenke ataiacha hii timu katika watu wa soka Arsenal itakuwa tishio ulaya na dunia katika sokaDullyJr nimekuja kukuunga mkono!
Mvumilieni UNAI ana maono sana na ataivusha team
Ataiunda team pole pole na mtakuwa OK sana
Lkn pazeeni sauti Ramsey abaki na mwakani team itegenezwe kupitia yy na Torreira kwenye kiungo
Ramsey anajua sana!
Mungu jaalia hii iwe ni done deal carrasco atatusaidia sanaBREAKING! Yannick Carrasco close to joining Arsenal (personal terms agreed just transfer fee to be agreed). Denis Suarez was close to signing for Arsenal but Arsenal pulled the plug on the deal after Carrasco expressed his interest to join Arsenal #AFC #Arsenal #Carrasco View attachment 990376
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu jaalia hii iwe ni done deal carrasco atatusaidia sana
Kwa hiyo hii inamaanisha Arsenal wakimpata huyu Yannick wanaachana na Dennis Suarez?.. Na kati ya hawa wawili yypi ana kiwango zaidi?Yannick Carrasco wants to play under Unai Emery and is willing to take a pay cut to seal a move back to Europe. [Calciomercato]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana , wanachukuliwa wote,Kwa hiyo hii inamaanisha Arsenal wakimpata huyu Yannick wanaachana na Dennis Suarez?.. Na kati ya hawa wawili yypi ana kiwango zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana , wanachukuliwa wote,
Yanic karrasco atacheza winger ,denis atacheza namba 10,
Sent using Jamii Forums mobile app
Leicester alibeba ligi kwa sababu timu nyingi kubwa zilikuwa mbovu..morata umenunua kwa paund milion 70 kakufanyia nini wewe?weka morata na odoi sasa hivi sokoni alafu angalia nani atakimbiliwa..........mtaje mchezaji wa leicester city aliyezidi paund mllion 30 wakati wanatawazwa kuwa mabingwa wa EPL..............?
Mpaka aliweza kuchezea vilabu vikubwa ina maana ni bora ..sasa hapo ukimtoa Auba ni nani mwingine anaye mshinda Morata? Lacazzete??morata ameachwa mbali sana na eddie nketia.......usitake kuufananisha huo upumbavu na kina lacazette kinachombeba yeye ni kuwahi kuchezea vilabu vikubwa kama madrid na juve lakini kwa kiwango chake cha sasa hata giroud hampati