Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,069
- 4,263
Hehehe!Proud Gooner... Man city alituzoea sana manina.
The gunners.
Wenger bado anawapenda arsenal.
Hehehe!Proud Gooner... Man city alituzoea sana manina.
Wenger anataka kutusahaulisha Campaign yetu ya kumtoa lakini msimu ukiisha tutaendelea hadi aondokeHehehe!
The gunners.
Wenger bado anawapenda arsenal.
Karibu Old Trafford Mkuu,Wenger anataka kutusahaulisha Campaign yetu ya kumtoa lakini msimu ukiisha tutaendelea hadi aondoke
Ahahaa..,.. Huyu Mzee ni wa kumuondoa tu hata kama akisajiri akina nani.Karibu Old Trafford Mkuu,
Kunataarifa zinasikika kuwa msimu ujao atafanya usajili wa kutisha pale Emirates.
Ila mashabiki wa arsenal mna mioyo migumu sana na ya uvumilivu.Ahahaa..,.. Huyu Mzee ni wa kumuondoa tu hata kama akisajiri akina nani.
Na 1-1 siku hizi ni ushindi?Arsenal imeshinda michezo yake saba mfululizo katika uwanja wa Wembley
Arsenal imeandika historia kuwa timu ya kwanza kufuzu kwa mara 20 hatua ya fainali katika kombe la FA
kiongozi angalia baada ya 1-1 nini kilifata utaona tulikwenda kwenye changamoto ya mikwaju ya penati na tukashinda 4 kwa 2Na 1-1 siku hizi ni ushindi?