Hahahaha na wao walikuwa wanashangilia na kupiga makofii
Hii makitu inapatikana Arsenal tu,zimepigwa pasi 22 usiniulize wapinzani walikua wapi.
Mechi 2 zijazo ni ngumu sana. Tottenham Spurs and Man Utd. Matokeo ya leo yatawapa morali wachezaji kwa mechi ya next week end vs Spurs.
Hakuna mechi ngumu hapo.Mechi 2 zijazo ni ngumu sana. Tottenham Spurs and Man Utd. Matokeo ya leo yatawapa morali wachezaji kwa mechi ya next week end vs Spurs.
Huyu jamaa anajitambua. Kapata bahati mbaya kama ile ya HENRY, kucheza soka zama zenye wakali wengi.
Tutegemee makubwa toka kwake
Huyu multipurpose playerView attachment 426501 Huyu jamaa pia alihusika kwenye ushindi
Ili kutatua tatizo la Majeruhi inapaswa kuwa na kikosi kipana bado kuna tatizo kwenye attacking midfielder Santi Cazorla akikosekana timu inacheza kwa Shida sanaHuyu multipurpose player
Timu inafanya vizuri unaanza kuwa na mtazamo hasi nayo.Nikiwa kama mshabiki wa Arsenal wasiwasi wangu sio ushindi tu..shida ni ushindi endelevu.. Kuna mechi za muhimu sana huwa tunapoteana na kupigwa kizembe sana.. Kama timu ikiweza kuwa makini na kutopoteza mechi za kijinga kama ile iliyopita tutafika mbali.. Na saiz walau timu inaonekana sasa
Nakuunga mkono mkuu, game kama dhidi ya middlesbrough haikuwa ya draw, tulistahili point 3, mwaka huu arsenal ana kikosi kipana Lakin baada ya draw ya middlesbrough niliona matatizo yale yale yanajirudia ya misimu iliyopita, tungekuwa tunaongoza ligi now, msimu huu tupo vizuriMawazo hasi yapi sasa.. Huo ndo uhalisia.. Bado tuna safari ndefu mbele mzee..saiz inabidi kupigana kufa na kupona kuhakikisha hatupotezi point kwenye mechi za kijinga..kila mechi inabidi timu ihakikishe inaashinda.. Sio siku unakutana na kitimu gani sjui huko na tuna kila dalili ya kushinda afu tunatoa droo au kupigwa.. Thats what I mean..
Na hiki ndo nnachomaanisha...unajua sawa tunasema mechi zote ni ngumu ila kuna zile mechi ambazo unaingia uwanjani ukitegemea ni ushindi tu sababu timu unayokutana nayo unakuta haipo level yako...timu kama kina middlesbrough, kina Burnley huko na zinginezo...hizi mechi ni za kushinda tu na sio draw wala kupigwa maana siku ukija kukutana na mechi zenye tension kubwa kama kina mancity, liver au kina Tottenham lolote linaweza tokea.. So njia pekee hapa ni kuhakikisha hivi vitimu vidogo hivi hatupotezi point kabisa.. Na hapo ndo Arsenal ugonjwa wetu ulipo.. Tunaweza tukatoka kumpiga mtu goli nyingi na displya ya maana afu tunakuja kutana na vitoto gani sjui huko vinatupoteza kabisa.. Afu tunaanza kulaumiana..Nakuunga mkono mkuu, game kama dhidi ya middlesbrough haikuwa ya draw, tulistahili point 3, mwaka huu arsenal ana kikosi kipana Lakin baada ya draw ya middlesbrough niliona matatizo yale yale yanajirudia ya misimu iliyopita, tungekuwa tunaongoza ligi now, msimu huu tupo vizuri
Arsenal ni moja ya top team inayookota points nyingi sana kwa vitimu vidogo. Tatizo huwa linakuja pale anapokutana na the big boys in town..... Hapo mara nyingi huambulia sare na vichapoNa hiki ndo nnachomaanisha...unajua sawa tunasema mechi zote ni ngumu ila kuna zile mechi ambazo unaingia uwanjani ukitegemeavichapoindi tu sababu timu unayokutana nayo unakuta haipo level yako...timu kama kina middlesbrough, kina Burnley huko na zinginezo...hizi mechi ni za kushinda tu na sio draw wala kupigwa maana siku ukija kukutana na mechi zenye tension kubwa kama kina mancity, liver au kina Tottenham lolote linaweza tokea.. So njia pekee hapa ni kuhakikisha hivi vitimu vidogo hivi hatupotezi point kabisa.. Na hapo ndo Arsenal ugonjwa wetu ulipo.. Tunaweza tukatoka kumpiga mtu goli nyingi na displya ya maana afu tunakuja kutana na vitoto gani sjui huko vinatupoteza kabisa.. Afu tunaanza kulaumiana..
Ila kikosi cha safari hii kinaleta matumaini makubwa.. Ile chemistry ya wachezaji kuelewana vizuri ikishatulia tu naamini tutafanya vizuri sanan msimu huu..