Laugh at youLA PILIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
MbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaView attachment 427961
Wachana na hao washabiki wa vichochoroni. Ding ...Dong.Laugh at you
Sioni mkitoboa leo
binafsi naamini msimu huu tutamaliza hatua ya makundi tukiwa vinara na kulikwepa lile jinamizi la kupangiwa timu kubwa mtoano.Tume qualify kwa knockout stage na we're hopin' tutamaliza kama viongozi wa kundi...thanks lads even tho kipindi cha pili kilikua ovyo ila nini kinazidi utamu wa 3 Pts simply hakuna.
binafsi naamini msimu huu tutamaliza hatua ya makundi tukiwa vinara na kulikwepa lile jinamizi la kupangiwa timu kubwa mtoano.