rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
[HASHTAG]#WengerIn[/HASHTAG]
Miserable Mourinho out
[HASHTAG]#WengerIn[/HASHTAG]
Chillax bruh!Miserable Mourinho out
Go go gunners![]()
Hii makitu inapatikana Arsenal tu,zimepigwa pasi 22 usiniulize wapinzani walikua wapi.
Richard kweli hii mechi inaweza kuwa kama ya wiki iliyopita vs Middlesbrough. Sunderland are playing deep, are closing Arsenal quick and waiting for counter attack chances. Arsenal hadi sasa dakika ya 12 hawamo katika their usual game. Ngoja tusubiri tuone.
Kumbe nawe shabiki wa arsenalKhe Kheeeee Kheeeeeeeee tunapeta kileleni kwa raha zetu! What a game! Gunners wote humu hongera zetu kwa kuwa na karamu ya magoli dhidi ya Sunderland.

Hii mechi haikuwa ya kushindwa, Arsenal walikuwa na kila sababu ya kushinda.
Kumbe nawe shabiki wa arsenal![]()
![]()
![]()
Hahaaaaa oooh poor MANU!!Kumbe ulikuwa hujui atoto? Mie ni mpenzi mkubwa sana Arsenal pamoja na siku nyingine kunikosesha raha lakini sihamii kokote kama yule Ngongo aliyekuwa mpenzi wa Arsenal baada ya kuona vipigo vimezidi akahamia Machester United nadhani alihama na vipigo maana sasa hivi viko huko MANU. Sikujua kama nawe ni mpenzi wa soka.
Hahaaaaa oooh poor MANU!!
Soka napenda japo sio mfuatiliaji sana.
Naipenda Barca.