Ahsanteni sana. The so called one man team has the highest number of different scorers (17) next is United and Everton (16). Let em keep hating..we fly high!
Alexander Song kaahidiwa pay rise from £55000-£75000 per week,mwaionaje hii snipers wenzangu?
Kulingana na wachezaji wengine wanavyolipwa na mchango wake katika timu, nadhani £75K ni kidogo. But again this is Arsenal usitegemee mishahara ya £100k!!!
Na hapo ndio timu zingine zikiona zinamuongezea dau, dogo anaenda kula maisha.
Ah Mwafrika, kumbe we ni wa huku...hongereni bana...Arsenal is one inspiring team na mafans wake ndo kabisa usiseme...kama mke wa bwana mlevi, mzinzi na mchumi ambaye anatarajia atabadilika one day!kudos...
#cfc fan
Kulingana na wachezaji wengine wanavyolipwa na mchango wake katika timu, nadhani £75K ni kidogo. But again this is Arsenal usitegemee mishahara ya £100k!!!
Very interesting
Labda Barca ya Tandikanaona ni post yako ya kwanza alafu umeishusha jukwaa letu tukufu..!! karibu katika thread ya timu ambayo "Class is permanent " timu inayocheza sexy footy only barca can match !!
Labda Barca ya Tandika
What??????????............