Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Safi sana... naona Jamaa wanamu wish Muamba Apone haraka....
 
Huyu Ramsey wa nini tena?.......Hili ndilo tatizo la AW.....

Yaani anawaweka benchi Gervinho na AOC anampanga Ramsey!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu Ramsey ni MSENGEREMA sana....... Kakosa bonge la chance.... Anabore sana
 
Uncle Tom Rosicky analeta raha kwa kweli....Kampa bonge la pande TV5 na kuwa kona....

Tunawashambulia sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…