Unafikiri Arsenal walipunguza kasi au walisababishiwa kasi ipungue ? Ingekuwa lile goli la tatu limepatikana dk ya 35 hivi ya kipindi cha kwanza, then kabla ya half time Milan wanepigwa nyingine mbili. Half time Milan wameenda kujipanga kurudi kipindi cha pili hali ikabadilika....