Mimi sio shabiki wa Arsenal, ila nawapongeza watani kwa kabumbu safi mnalotandaza leo, nahisi Arsenal ndo inarudi katika form yake. Na ndio itareplace nafasi ya Barca inayoelekea ukingoni, maana hii ni mechi ya tatu mkiwa mnafurahi wadau wa Arsenal.
kuna watu niliwasikia clouds wanasena arsenal ikishinda wataishi Somalia ... mungu Yupo pamoja na washika bunduki wa emarates tuombe kipindi cha pili tuwapige tatu nyingine ...
Wachezaji wetu wanapenda kucheza wakiwa under pressure. Mara nyingi wakifungwa ndio wanaamka, badala ya kuanza na speed toka mwanzo. Sasa leo wamejua kwamba hakuna kulemba zaidi ya kutafuta magoli.
COME ON ARSENAL!
Team to face AC Milan: Szczesny, Sagna, Vermaelen, Koscielny, Gibbs, Song, Rosicky, Oxlade-Chamberl ain, Walcott, Gervinho, Van Persie.
Subs: Fabianski, Djourou, Miquel, Jenkinson, Ozyakup, Chamakh, Park
kuna watu niliwasikia clouds wanasena arsenal ikishinda wataishi Somalia ... mungu Yupo pamoja na washika bunduki wa emarates tuombe kipindi cha pili tuwapige tatu nyingine ...