@ BJ
Tungekuwa Bongo mbona arsenal wangekuwa sababu ya zile nne tulizpigwa Itay ilikuwa uwanja na barafu. Sio sababu kiwango cha Milan ni kikubwa. Mpaka sasa tunaona
Kwa ufungaji arsenal haina tatizo kubwa . Tatizo ni baance ya ufungaji na beki. Huku kwenye beki huku ndio ????? So far kosch naona yuko njema..... Ila sagna na Giibs tayari wana kadi za njano