Hata Arsenal pia ni tawi letu,nakumbuka Mr Bean anamtoa Chambelin anamwingiza kapteni wa Russia1OT3NHAM HOT5PURS2 ni tawi la Man United. Kila siku wanatepeta tangu 2001. Well, that's good for Arsenal
hongera sana kwa washika bunduki wote duniani,the gunners,uzi uendelee huohuo tuzidi kupata raha,hata ac milan tunatakiwa tukaze uzi tumtoe.
Suala la AC milan ni ishu sana kwa Arsenal!Ni bora Wenger ajikite zaidi kwenye ligi!
Song Such an underrated player and not given credit for giving 100 percent each game but in a way it is kinda good that he is under-rated so cunts like barca wont want him
gooners together we stand tufe kishujaa Vs Milan! uwanja wetu mpira wao hawaondoki watupu emarates leo
Ha..ha..ha mkuu sisi tunajua kuliko wao hamna cha tawi wala nini.Hata nyie huwa tunawafunga hivyohivyo mnakuja na kasi zenu na pasi 10000 halafu sisi tunawatuliza then dakika 90 tunachekelea.BTW tumewasaidia kiaina.
Hata Arsenal pia ni tawi letu,nakumbuka Mr Bean anamtoa Chambelin anamwingiza kapteni wa Russia
Vipi tena? Sokwe unamaanisha timu yako huwa inacheza vs masokwe?!Huyo jamaa namkubali sana. Barcelona wanapenda wachezaji 'wanaojua' kudive kama yule sokwe wa 5PUR2
Vipi tena? Sokwe unamaanisha timu yako huwa inacheza vs masokwe?!
Nimekuja hapa niwatakieni wenyeji 'mavuno' ya kile mtakachopanda ktk mechi ya usiku huu!!
imeshaanza kakaMechi saa ngapi wakuu ?