Asante.....
Asante ya nini tena mkuu?:rant:
Hawa mabeki wa Arsenal inaonekana wanasupport ubaguzi! Yaani wanamwacha huyu Shuzilaulezi awanyanyase hivi?
Sawa Sheikh Yahya Jr.
diaby kumbe kapona!arteta kaumia vibaya mpaka anafungiwa machine ya kupumulia uwanjani so,anatoka anaingia diaby
watu waki-bet,utabiri wa hali ya hewa yaani forecast wote hao wewe unawaona sheikh yahya?
Naona replay hapa kwa slow motion inaonesha Suarez hakuguswa hata kidogo na kipa wetu. Jamaa kweli bingwa wa ku-dive.
Ndio kawaida yake. Limeshazoeleka!Lile baguzi la rangi kumbe lilimdanganya refa!