Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Van magoliiiiiiiii
Kulaleki hii ndiyo Arsenal iliyoipiga Spurs 5?
Inaonekana kama ile iliyopigwa 4 na AC Milan!
Maskini Arsenal...leo hali yao haitabiriki....
Ngoja tujaribu kuwaunga mkono kwa sala za uongo na ukweli!!
Afadhali nini bibie.....
Asante babu kwa sala zako!
Wamekosa penalt
Rosicky, benayon, walcot, arteta na song wote hawapo mchezon kabisa
Wamekosa penalt
Kumbe na wewe ni mgambo wa jiji.....a.k.a unabeba libunduki???
Babu DC!!
Kudadadadeeeki......ngumu sana ku-support the Gunners kwa style ya uchezaji wao.....lakini....I'm with Gunners today..... No matter what.....:uyu refa naona anawanyonga sana Gunners.....thats my opinion....
arsenal wamejifunga liver 1-0 arsenal dk 23
Babu DC hapo hatoki mtu