Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

That is SQI..... Kuna haja ya kustaafu soka at least till nest season na hiyo itategemea Usajili atakaofanya AW......

Usajili ule ule tu wakuunga unga kama kawaida ya Wenger na mabosi wake.

Sema safari hii watatia akili tukikosa top 4.
 
Hahahah..kila mtu anaionea huruma arsenal.
Timu imekosa ushindani kabisa. Ngoja nistaafu tu soccer mpaka Wenger afukuzwe!
 
Usajili ule ule tu wakuunga unga kama kawaida ya Wenger na mabosi wake.

Sema safari hii watatia akili tukikosa top 4.

mi naomba sana 2cwepo kwenye top 4 nione atafanyaje manake hicho ndo kinachompa kiburi acsajili wachezaji wazuri wanaoweza kumsaidia kuchukua ubingwa
 
Hahahah..kila mtu anaionea huruma arsenal.
Timu imekosa ushindani kabisa. Ngoja nistaafu tu soccer mpaka Wenger afukuzwe!

Hakuna. Wa kumfukuza Wenger kwani anachofanya ndio mabosi wake wa. Sasa hivi wanataka. Kwahio wanashirikiana kwenye kila kitu tunachoona

Mpaka timu ikiuzwa na Wenger akipewa hela za usajili alafu afanye utumbo ndio hapo kibarua chake kitaota mbawa.
 
Tukipiga mashuti mawili matatu kama ya Vermelen lazima tupate goli lakini kama tutaendelea kupigiana pasi za ndani ya box ngoma yetu italala.
 
mi naomba sana 2cwepo kwenye top 4 nione atafanyaje manake hicho ndo kinachompa kiburi acsajili wachezaji wazuri wanaoweza kumsaidia kuchukua ubingwa

Mkuu umeshakutana na kuongea na Wenger personally ukafahamu kwamba ana kiburi? Au ni maneno ya kusikia na kuambiwa? Wekeni ushabiki uchwara mbali na angalieni anachofanya. msione timu zote na media zinamshambulia mkafikiri ni one of the worst.
 
Hakuna. Wa kumfukuza Wenger kwani anachofanya ndio mabosi wake wa. Sasa hivi wanataka. Kwahio wanashirikiana kwenye kila kitu tunachoona

Mpaka timu ikiuzwa na Wenger akipewa hela za usajili alafu afanye utumbo ndio hapo kibarua chake kitaota mbawa.
Lakini uvumilivu una kikomo chake. Naona this time Wenger hawez kubakizwa! Huwa pia nashindwa kumuelewa Gadiz kabisa. Inabidi tu arudishwe marekani alikotoka!
 
Inabidi. Tuongeze speed yetu ya kutoleana pasi, Sunderland wanakaba wote. , kitendo cha kuchelewesha ku-make move zetu inawapa nafasi za kujazana na ndio maana hatupati nafasi pale golini kwao.
 
Arsenal wanazidi kutoka mchezoni na bahati mbaya hatuna plan B tunacheza vile tulivyozoea
 
I wish TITI was in there.... may be we would have been Level or ahead.....
 
Dah!! Ndugu zangu naona mnacheza kiduku leo.Komaa jamani hili kombe ndio size yenu.
 
Huyu mzee kabakiza kurusha mikono tu kwa kulaumu na Midadi.... Angefanya usajili Jan wala asingeteseka this tym...........
 
Back
Top Bottom