mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Mkuu,yaani we acha tu! naipenda Arsenal kupita maelezo....yaani Arsenal ni kama dini yangu!.Tatizo let ni AW na mfumo na si kingine.........
Binafsi naumia kama unavyoumia wewe lakini ndo malipo ya KUPENDA hayo.........A
Always a gunner.......
Hakika huyu dogo ni kifaa sana na ni future mzuri sana kwa Arsenal,lakini baada ya miaka 2 au 3 utasikia huyu dogo anatakiwa nahuyu dogo huyu... duh
Hakika huyu dogo ni kifaa sana na ni future mzuri sana kwa Arsenal,lakini baada ya miaka 2 au 3 utasikia huyu dogo anatakiwa na
Barca au Madrid....tutapiga kelelewee ili asiondoke,lakini mwisho wa siku dogo huyoooo Barca,Madrid au Man city. Sasa utaratibu huu
mpaka lini? kwanini wenger ajifunzi toka walipoondoka wakina Flamini,Henry,Fabrigas,Nasri nk.kuwa hakuna tunachokifanya zaidi ya
kutwanga maji kwenye kinu?
Mkuu,hata mimi naomba iwe hivyo i mean huyu dogo asiondoke.sasa mkuu ulitaka wenger asingemnunua sababu ya kuogopa akikua atakimbia barca ...
usijali mkuu dogo ni muingereza na waingereza wana kuwa loyal .. na pia wanapenda ligi ya kwao ili wapate nafasi timu ya taifa ...
ox ni future na atakuja kuwa captain one day ...
Huyu dogo atang'ara sana lakini hawezi kuwa captain ila jack wilshere atakuwa captain in the near future.Bravo gunners for the marquee victory but AW must GO!sasa mkuu ulitaka wenger asingemnunua sababu ya kuogopa akikua atakimbia barca ...
usijali mkuu dogo ni muingereza na waingereza wana kuwa loyal .. na pia wanapenda ligi ya kwao ili wapate nafasi timu ya taifa ...
ox ni future na atakuja kuwa captain one day ...
Asante sana mtani....Hongereni watani naona leo mmeua
Hongereni wazee, ila wacha anawaangusha kapewa mpunga ili aache kuleta mapicha hapa, ngoja nijaribu kuyapakuwa