Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Hata leo AOC atatoka ataingia Arshavin
hahahaaaaaaaaaaaaaa, like peeing on your pants???
...haki ya mungu sawa sawa na sensation hiyo aisee!...it's kinda weird lakini acha tu niseme ukweli...
nadhani hii ishawakumba sana wale seasonal ticket holders wanaoshangilia mpaka last game ya team yao
ilipokuwa relegated...
kwangu mie sasa, Arsenal ishinde au isishinde hakuna tofauti yeyote....Time for Arshavin plizzzzz!
arshavin anaingia tukiwa 2-2
...tayari 2-2...wamuingize sasa shava bana...!