Wenger bana kwa nini asimrudishe Djorou kati huyo Koscienly aende kulia maana ManU magoli yao yanatokea pembeniDogo Miquel yupo, labda aende kati Miquel alafu Koscienly aende kulia, na hapo bado utakuwa umechanganya habari kinoma.
NANI anatusumbua sana, Varmelen amewaza kumzima Valencia vya kutosha
...
56. Nicholas Yennaris.
Djourou anatucost sana leo!! Wtf!
Vermaelen naye bado kabisa! Alikuwa na uwezo wa kucheza kross iliyosababisha goli! He is out of position!Dogo Miquel yupo, labda aende kati Miquel alafu Koscienly aende kulia, na hapo bado utakuwa umechanganya habari kinoma.
NANI anatusumbua sana, Varmelen amewaza kumzima Valencia vya kutosha
Wenger bana kwa nini asimrudishe Djorou kati huyo Koscienly aende kulia maana ManU magoli yao yanatokea pembeni
Vermaelen naye bado kabisa! Alikuwa na uwezo wa kucheza kross iliyosababisha goli! He is out of position!
Wenger now needs to asses both left na right back positions!
Wenger bana kwa nini asimrudishe Djorou kati huyo Koscienly aende kulia maana ManU magoli yao yanatokea pembeni
Wenger bana kwa nini asimrudishe Djorou kati huyo Koscienly aende kulia maana ManU magoli yao yanatokea pembeni
Hivi inakuwaje timu zingine wana wachezaji wazuri kwenye bench lakini sisi hatuna?
ARSENAL Chairman. PETER HILL-WOOD "We have been planning for not qualifying every year, so it's not a disaster, but it would be nice if we could."
...i wish Phil Jones angeendelea, angetupatia goli 'mojawapo' :eyebrows: