Msikie huyu mshabiki wa Arsenal
Code:Can we swap nationalities for Walcott and Asharvin so that they can join Chamakh (at the Africa Cup of Nations).
Ebana Gemu ya leo Ramsey Kachoma Magoli mawili, dawa yake gemu ijayo apigwe benchi ili akili imkae vizuri. Goli la 3 lilikuwa la kipuuzi nalo.
AW wakati mwingine maamuzi yake yanachangia katika kupoteza michezo muhimu ambayo hatukustahili kupoteza. Sikumuelewa kabisa alipoamua kumuanzisha TH kwenye benchi. TH anaweza kabisa kwenda hata 60 to 75 minutes kwenye mikiki ya EPL. Natumai katika miezi hii miwili hatarudia kosa hilo tena la kumuanzisha kama reserve player.
Duh! Kweli mkuu hapo umeongea kutoka moyoni, sio kichwani. Henry hawezi kucheza hizo dk unazosema, umemwona lakini alivyokuwa anapumua kwa taabu? Lile goli la ushindi katoa pasi yeye, au hukuona pia?!! Kumbuka hii ni EPL, sio FA. Mwenye mapenzi haoni, ingawa macho anayo.....hahahahaha!!
lol! experience muhimu Mkuu popote pale.... hata akianza 45 za kwanza to 55 minutes ni bora sana kuliko kuanza kwenye benchi.
Tatizo lilikuwa kiungo sio mbele Ramsey,Benayoun na Arshavin walikuwa wanapoteza sana mipiraAW wakati mwingine maamuzi yake yanachangia katika kupoteza michezo muhimu ambayo hatukustahili kupoteza. Sikumuelewa kabisa alipoamua kumuanzisha TH kwenye benchi. TH anaweza kabisa kwenda hata 60 to 75 minutes kwenye mikiki ya EPL. Natumai katika miezi hii miwili hatarudia kosa hilo tena la kumuanzisha kama reserve player.
Mkuu usitegemee mchezaji kila week atakuwa vizuri so hamna haja ya kumuweka bench pangwe kama kawaida tu atarudi kwenye form yake
Halafu hiyo picha ya aserne wenger akishika kombe mwanzo mwa thread mbona anaonekana alikuwa kijana sana? Inaonekana ni miaka mingi ishapita tokea asenal mchukue kombe kwa mara ya mwisho, taratibu mtakuwa kama liverpool
Kwa kweli Arse ne amevunja rekodi nyingi msimu huu.
zipi hizo mkuu..
Zinajulikana kama pale OT,Spuds,Pool,Etihad,kwa Blackburn na huu upuuzi wa Fulham na Swansea.
jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama