Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama nilivyosema, wata create chances, however tatizo ni kuwa nani ni the last person on the ball.
 
Hivi ni kwa nini AW alimuweka benchi Rosicky na kumuanzisha Benayoun leo?

Dakika 4 za nyongeza
 
Pole sana jirani, naona leo mnafundishwa mpira....muda bado lakini.
Asante sana jirani.....

Yaani tunafundishwa hasa, vijana wanacheza mpira mzuri kweli,wanakaba,wanashambulia na hawapaki bus...

Wametuzidi kwa kila kitu,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…