Kweli mkuu. Hii game kwa mazoea yetu tunaweza kulala kama sio draw. Tunashindwa ku-force tupo relaxed sana.
Wenger hajiamini na sasa kabaki tu analazimisha wachezaji kama Arshavin kwa kutegemea atafanya maajabu. Arshavin hastahili kuanza kabisa; dogo Chamberlain kasi yake inasaidia sana kuongeza mashambulizi.
Na kwa tabia ya Wenger kufanya mabadiliko dakika 70 tunaweza kulala kama ulivyosema.
Naelewa sana Bala...mi leo sitaki kabisa mpira,naona nikishuhudia tukifungwa ndo huzuni nyingine nazo zitaamka zaidi....nitapita baadaye kuangalia mechi.... all the best Arsenal!!
Kuna wachezaji wenye uwezo AW kawaeka benchi sijui kwanini afanyi sub mapema anategemea maajabu hajui hata kuusoma mchezo. Arshavin anakimbia huku anangalia chini sijui anangalia mpira jamaa kushney kabisa. Hope tutashinda