Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Oxlade chemberlain pale wenger amelamba dume! Ni kitendo cha kumpa mechi nyingi zaidi..dogo anajua

asante mkuu Chamberlain anajua lakini nina imani kubwa kuwa Park pia anajua ila AW amekwisha wapa nafasi sana huyu Chamakh na Arshavin hawafai. Mchezaji ukipewa hata dakika 5 ya mchezo utaoneka kama wajua ama mzigo kwa timu
 
TH ... sio starting 11 ... hizo nyingine mwanzo mwisho wale wazee wanakimbia 90min!! gooners umeona kina walkot, alex.... etcl....

Mashabiki wa Arsenal uwa hamuishiwi maneno. Hapa hata kama sio first 11,suala ni kwamba kubalini soka la sasa mchanganyiko wa damu ni muhimu. Huyo TH amesajiliwa wa nini kama AW hajaona umuhimu wake? Kuwa benchi tu tayari ameshaweka kauzibe kwa madogo (kwa falsafa ya awali ya AW).

Mchanganyiko wa damu katika soka la sasa hauepukiki. AW kaona hilo na you gooners mtaelewa tu.
 
More from Thierry Henry, who won the ESPN man of the match award by a mile because viewers were voting for him even before he came off the bench: "It's a joke I got man of the match, but I will take it. The goal was one opportunity and you don't know if you have a second opportunity so you have to make it count. I will always remember tonight. I don't know why, but something happens with me and this club, sometimes in a bad way but most of the time in history, in a good way."

An emotional Thierry Henry after scoring the winner against Leeds on his Arsenal comeback, four-and-a-half years after he left the club: "I don't know. It's kind of weird. I only came back from holiday from Mexico 15 days ago and I didn't think I was going to play for Arsenal again, let alone score a winner. The feeling when I scored was amazing, I rejoined the club as a fan. Scoring a goal as a fan is amazing and now I know how it feels."
 

Wako ni unazi au........? Hata kumwita mtu jina unashindwa? Halafu wewe si mpenzi wa timu sasa unatakaje ibadilike? Walioipenda wameipendea hivyo na ikibadilika kama unavyotaka wewe itakuwa yako wewe/.
 
Dah Peas of ants hawakuonekana leo ... .... .. vipi Manure family wamekwenda kumwombea eqlpssssssssssssssssssssssy ICU, naona wamerudisha mashoga.
 
Wako ni unazi au........? Hata kumwita mtu jina unashindwa? Halafu wewe si mpenzi wa timu sasa unatakaje ibadilike? Walioipenda wameipendea hivyo na ikibadilika kama unavyotaka wewe itakuwa yako wewe/.

Soma tena. AW ameshaelewa.
 



Made it look so effortless, so easy.. I wonder why the young Gooners can't seem to get it?!






ngoja nasie tutafute kizee chetu tukitupie kati maana mliaanza wakafuata manure who's next?
 
liverpool fans vs nasri


[video=youtube_share;gaNDKK_HGxY]http://youtu.be/gaNDKK_HGxY[/video]
 
Good newz;Johan Djourou na Thomas Vermaelen wanatarajiwa kuwepo katika mechi dhidi ya swansea na Bacary Sagna huenda akawepo uwanjani katika game dhidi ya Man U!

Habari nzuri hizo.
 
Good newz;Johan Djourou na Thomas Vermaelen wanatarajiwa kuwepo katika mechi dhidi ya swansea na Bacary Sagna huenda akawepo uwanjani katika game dhidi ya Man U!

Hapo bora ni TV5 na SAGNA kurupdi lkn Djourou hata acporudi manake yeye mwenyewe akiwepo ndo njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…