Nimesema powa kwa vile kule kushoto anawasumbua mabeki na anaingia nayo vizuri tu tatizo liko kwenye final ball akitulia anaweza. Kutoa assist au kufunga.
Wakumtoa ni Chamakh na kumuingiza Henry. Kama tunataka ushindi. Na aingizwe kipindi. Cha pili kikianza sio mambo ya kuskilizia. Chamakh bora angeenda tu Africa sioni kilichomfanya acheleweshe safari yake.

Huyu kizee AW kibishi kweli. Anang'ang'ania wachezaji wajinga wajinga. Sub zake anachelewesha kila gemu, mtu mpira umemkataa toa nje damn. Leo angemuanzisha Park badala chamakh. Sitaki hata kumuona. Huyu mzee kafanya timu yake