Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,204
- 79,505
Mtangazaji kasema Arsenal inacheza kama mabingwa wanavyotakiwa kucheza.Kuchukua ubingwa ni pamoja na kujua kushinda game kama hizi.
Miaka ya nyuma mpaka muda huu tushapigwa 4 tunarukaruka tu uwanjani.
Ila tukishinda leo utaona wachambuzi uchwara mmepaki basi, refa kawabeba, mmebahatisha.