Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Madueke alivyoingia, Davies akawa anapanda bila uoga, na goli akascore.
Unaijua defensive contribution ya Dowman? Ukiacha what he offers kwa ulivyomuelezea?

Unahisi angefanya much better kuliko Madueke? Kwenye away ground, Allianz arena, under such pressure?

By the way, Davies kufunga inatokana na kosa alilofanya Madueke?
 
Dowman ana possibilities labda mbili, akiwepo una uhakika kwamba huyu lazima atataka kulifuata boksi na lazima atajaribu kupeleka mpira mbele.
Kwahiyo kocha hakuliona hilo akaona timu aichane nyuma acheleweshe ushindi au sio?

Takwimu za Dowman ulizokuja nazo, nikumbushe ilikua against nani vile? Na alicheza dakika ngapi vile? Ilikua uwanja gani vile? Final results zilikua ngapi vile?
 
Oya mazee tuongee soka na sio kubishana ili mmoja aonekane anajua au bora. Sio kweli
Tuishi humo
Castr Guacamole
Sasa mzee mimi kosa langu liko wapi?

Miaka yote hua nipo hapa naandika kuhusu wachezaji au mechi. Na hua naandika ninachoona, miaka yote, in a week Guacamole kaona sipo sawa.

Tutaeleweshana mpaka aelewe kila mtu atamuangalia mchezaji anavyoona yeye.
 
Huyu Dowman msimu huu hajacheza. Ili kupata stats ni lazima kuufuata msimu aliocheza. Hizo ni takwimu za Dowman za mwaka jana na nimefananishia stats za mwaka jana za Madueke.

Hapo bias iko wapi?
Upo sahihi kwenye uchache wa mechi kuinfluence stats. Huo uchache unaonyesha pia potential ya Dowman kila akiingia, hiyo ndiyo inafanya mionr ni sub poa.
Utofauti wa stats unategrmea na source. Mimi nimetumia fotmob, wewe uliyotumia imekupa 82% ila wote tumepata stats zinazoonyesha Dowman is better statistically.
Kama kwenye bench una Madueke, Dowman na Trossard halafu Saka akaumia wewe ukampa namba Madueke badala ya Trossard utakua una masihara.
Kwamba Madueke na Dowman wewe kwa akili zako unaona Madueke ana mentality ya kufosi ushindi? Hii miujiza.

Stats hazichezi mpira? Kweli hazichezi. Ila zinakupa matarajio.
Uko away vs Bayern, kaumia first team player dk ya 10, unataka aingie youth player/prostect.. are you out of your mind?
Ukiachilia hoja yako ya seniority na away stadium hebu lete hoja ya kwanini Madueke ni best
 
Alafu mchizi Guacamole wewe ni chama gani?
Tusije tutakawa tunajaziwa server za comments za mtu kutoka unyumbuni
Mimi ni Arsenal through and through.
I've seen worst of Arsenal huko nyuma, inanikera ninapoona mtu anashadadia mambo ya kijinga kutaka aingizwe mtoto kwenye mechi ya kikubwa kwa mapenzi yake binafsi.
 
Kwahiyo kocha hakuliona hilo akaona timu aichane nyuma acheleweshe ushindi au sio?

Takwimu za Dowman ulizokuja nazo, nikumbushe ilikua against nani vile? Na alicheza dakika ngapi vile? Ilikua uwanja gani vile? Final results zilikua ngapi vile?
Tukiwa tunacheza na Westham White akaumia, Arteta akampa namba Zubimendi halafu Rice akawekwa beki ya kulia.

Timu ikawa haitembei na Rice kule kulia akawa hachangii kwenda mbele, baada ya ile shitshow Zubimendi akatolewa Rice akarudishwa kati. Arteta akasema experiment ilifeli. Hii mechi ilichezwa May 2026.

Sasa Rice kua RB nayo inafikirisha. Ila siyo ajabu DM kua beki. Let's see kama ile tweet ya Brighton itatumika kutia watu morali

Hii niliandika Dec 2025. Now, alishacheza games kama 2 kama RB moja akaperform fresh nyingine hakua vizuri sana.

Kwamba shabiki niliona Rice hachangii vizuri akiwa beki ila ikabidi game ya Westham imfumbue macho kocha? Mfano ukiamua kutumia akili unaweza kuona bila shida
 
Mimi ni Arsenal through and through.
I've seen worst of Arsenal huko nyuma, inanikera ninapoona mtu anashadadia mambo ya kijinga kutaka aingizwe mtoto kwenye mechi ya kikubwa kwa mapenzi yake binafsi.
Kwani mkuu wewe ni Ke? Isijekua nashangaa uchaguzi wako wa maneno kumbe ipo hardwired wewe kutumia maneno ya wamama
 
Mimi ni Arsenal through and through.
I've seen worst of Arsenal huko nyuma, inanikera ninapoona mtu anashadadia mambo ya kijinga kutaka aingizwe mtoto kwenye mechi ya kikubwa kwa mapenzi yake binafsi.
One love family ✌️
#COYG
 
Huyu Dowman msimu huu hajacheza. Ili kupata stats ni lazima kuufuata msimu aliocheza. Hizo ni takwimu za Dowman za mwaka jana na nimefananishia stats za mwaka jana za Madueke.

Hapo bias iko wapi?
We kweli kiazi hivi umeelewa nilichoandika?

Wewe umesema Bayern msimu huu amefungwa magoli ya aina 3, ni kweli au sio kweli?

Km ni hivyo inakubidi ufananishe takwimu za Bayern kwa msimu jana km umeamua kumzungumzia Dowman wa msimu jana. Otherwise sababu zako za "ubora wa Dowmnan wa 2025/26" vs "udhaifu wa Bayern wa 2026/27" hazina mashiko.
Upo sahihi kwenye uchache wa mechi kuinfluence stats. Huo uchache unaonyesha pia potential ya Dowman kila akiingia, hiyo ndiyo inafanya mionr ni sub poa.
Hebu angalia hata wewe mwenyewe unaelewa kweli unachoandika? Rudia tena nilichoandika.
Kama kwenye bench una Madueke, Dowman na Trossard halafu Saka akaumia wewe ukampa namba Madueke badala ya Trossard utakua una masihara.
Angalia sasa akili yako 😂.
Mimi nimekupata mfano kwamba stastically Dowman kamzidi Trossard 2025/26, tena kwa pass.. je, km ww utaweza kumpa nafasi Dowman over Trossard kwa takwimu ulizoleta?
Sijasema Madueke, Trossard na Dowman wako benchi, acha kugeuza maneno..
Madueke was already in km ilivyo kwenye mechi ya Bayern. Umebaki na Trossard na Dowman nje, unamuingiza nani na Trossard kazidiwa kupiga pasi na bwana mdogo?
 
Villa hawamuogopi Enzo, wanampiga high press na physical ball nene, ila Doku ndiyo mbaya wao Villa. City inapokea yellow kama salary slip
 
Kama ungekua unaangalia mechi ungejua kua Trossard ni starter. Trossard ni threat kwa timu pinzani kila akiwa uwanjani, unlike Madueke.

Swali lako ni strange.
 
Kama ungekua unaangalia mechi ungejua kua Trossard ni starter. Trossard ni threat kwa timu pinzani kila akiwa uwanjani, unlike Madueke.

Swali lako ni strange.
Hiyo sasa ni mada tofauti, stick na mada.
Trossard ndio ni starter over Madueke ila stick kwanza na mada.
 
Kama ungekua unaangalia mechi ungejua kua Trossard ni starter. Trossard ni threat kwa timu pinzani kila akiwa uwanjani, unlike Madueke.

Swali lako ni strange.
villa wanapiga front na through passes mno safiii sio sideways passing. Wangekua na mtu kama Gyokeres daaah

Arteta afanye ku-updates transition techniques
 
Hiyo sasa ni mada tofauti, stick na mada.
Trossard ndio ni starter over Madueke ila stick kwanza na mada.
Nimekuuliza kitu haujajibu.

Ukiachilia hoja ya seniority na uwanja kua away kipi kinafanya uone Madueke ni sub ya kukupa matokeo?
 
Hii vita ni kali, sema nini at least mwana gooner mmoja kachoka kuwa ng'ombe kachoka kupelekwa pelekwa, wengine na nyie amkeni sio mnakua kama mazombie.

N.B. Battle liendelee kwa fact, back ground huku tupo tunafatilia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…