Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hua nasema mashabiki wa chelsea machizi.

Sasa nenda X halafu search #enzofiles

Mashabiki wa chelsea wanatuma videos zikionyesha jinsi Enzo Fernandez alivyo mbovu uwanjani. Wengine wameenda mbali na kuonyesha juu ya ubaguzi wa rangi.

Hawa ni wapuuzi waliokesha kudai hakuna kiungo kama Enzo, alivyoflop wakamleta Caicedo. Alivyoflop na huyu wanaongea juu ya interceptions.

Siku hizi siwajibu hawa kenge.
 
Nyie jiongelesheni tu na kujijibu wenyewe, badala ya kutafuta namna ya kuizuia ile Front three ya chelsea msije mkadhalilika.

Kwa hiyo akili zako ndio zimekutuma Caseido anachezaga peke yake.
Nawashangaa sana
 
Caicedo ni kiungo mkabaji Bora duniani acha kumvunjia heshima
 
Tushacheza na front three yenye

Mbappe, Vini, Rodrygo
Diaz, Kane, Olise

Hao wote hawakuweza kuscore 1+

Nyie kenge wenye Kopama, Estevao na Welbeck mkipata goli zaidi ya moja iyo mechi mmeshinda nawapa alama tatu
Hii inaitwa JP Morgan ( Joao Pedro, Palmer na Morgan Rogers) tutawapima mabeki wenu Wana uwezo wa kukimbia kiasi gani
 
Nyie jiongelesheni tu na kujijibu wenyewe, badala ya kutafuta namna ya kuizuia ile Front three ya chelsea msije mkadhalilika.

Kwa hiyo akili zako ndio zimekutuma Caseido anachezaga peke yake.
Mmeshatafuta kichaka cha kujificha. Caicedo hachez peke yake😀
 
Nawaangalia hapa man city, jinsi wanavyocheza, wanavyoacha space, hawafanyi runs, sizion penetration pass,timu haina viungo wa kutuliza timu kama rodri

Natamani baada ya kumkanda kenge kesho, j3 watupe huyu city ili tuokoe muda
 
Nawaangalia hapa man city, jinsi wanavyocheza, wanavyoacha space, hawafanyi running l, sizion penetration pass,timu haina viungo wa kutuliza timu kama rodri

Natamani baada ya kumkanda kenge kesho, j3 watupe huyu city ili tuokoe muda
Kwasababu wanawachezaji wengi ambao hawakabi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…