makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,553
Utajua mwenyewe.Ni factor siyo facter.
Endelea kuwajaza wenzio ujinga, Villa pia wamecheza ujingaKwenye hii mechi Aston villa hawana shot on target ingawa Arsenal tumecheza hovyo sana.
Hii sasa ndiyo hiyo fear factor
Mlitufunga nastaafu nyeto.Subir next game tuje tuwakaze
kajifunze kimalkia kwanzaUtajua mwenyewe.
Kiingereza watuachie mashabiki wa Arsenal bhana!Ni factor siyo facter.
Anza kukusanya mabegiMlitufunga nastaafu nyeto.
Kumbuka kustaafu nyeto ni zaidi ya kifungo cha maisha jela ,😎
Hahaha 😂.Anza kukusanya mabegi
Hata huyo wa kati pia hatuna, kai anacheza kama ana kinyesi matakoni 🤬japo umepatikana ushindi ila mshambuliaji wa pembeni mwenye kasi anahitajika haraka sna.. timu imekosa speed.
Binafsi huwa nikisema Bukayo Saka,Kai Hatvetz ,Noni Madueke hapaswi kucheza Arsenal nabaki kushambuliwa!japo umepatikana ushindi ila mshambuliaji wa pembeni mwenye kasi anahitajika haraka sna.. timu imekosa speed.
Gyokeres ni Dumbia aliye changamka then hapo kwenye Saka unazingua mkuuBinafsi huwa nikisema Bukayo Saka,Kai Hatvetz ,Noni Madueke hapaswi kucheza Arsenal nabaki kushambuliwa!
Haiwezekani unamuuza mchezaji kama Gabriel Martinel unamuacha Madueke!
Tatizo la leo la Arsenal lilikuwa ni striking force tu baaasi!
Kuanzia kwa Mabeki hadi viungo tulikuwa sawa,Tatizo ni mawinga wa pembeni bado wanacheza kizamani sana,Kama hawa ndiyo tunategemea watuvushe kwenye Champions League msimuu huu,Basi tuandike maumivu!
Sijajua sababu ya Arteta kumuweka benchi Gyokeres ni zipi,Kuna muda hadi watangazaji walikuwa wanashangaa kwanini Kai Hatvetz anacheza wakati Gyokeres amekalia mbao ndefu!
Hasira zako usilete hapa.Utajua mwenyewe.
Unajiongelesha sana.Endelea kuwajaza wenzio ujinga, Villa pia wamecheza ujinga