Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unaona kwanini watu hawazungumzii Spurs? Na huyu kocha mzuri
 
Kwangu namuona Spurs ni Bora kuliko Man City, Liverpool na Man U sijui kwanini watu wanatoa kwenye big 4
Kwenye first eleven yao wengi ni walewale waliotaka kuwashusha daraja mwaka jana De Zerbi ana attitude ya kuenjoy kuwafunga Giants yeye kufungwa na timu ndogo haimsumbui.

Chukua hiyo combo ilete EPL. Majibu ndiyo haya
 
Imani yangu kwa Spurs ni kubwa japo wamepoteza kwa Brentford ila tuwe wa kweli Brentford ni team haswa na bahati mzuri hawajapoteza wachezaji wao muhimu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…