Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna watu humu mulikuwa mnataka Odegard aondoke. Me nasemaga wachezaji siyo maroboti, wanapataga fatigue sometime.

Mfano mwengine Saka, kacheza mechi nyingi. hayuko fit.lakini watu hawaelewi. Hata Zubimendi inatakiwa awe fully fit ndiyo tumjudge
Nakuunga mkona hasa case ya Zubimendi.


Dogo alicheza gemu nyingi zaidi ya misimu iliyopita. Alizoea kuishia 40 na kitu ila alifikisha 57 na bado msimu ulikuwa haujaisha. Kibaya zaidi system yetu inahitaji upambanaji lasivyo namba sahau.
 
Coventry...mabingwa wa championship wakiwa na Super Frankie..... Wamesajili vizuri, watatoa ushindani ! Sioni mkishinda, mkijitahidi draw !!

Bruno G kaumia ? Tuliwaambia mapema huyu ni injury prone.... hawezi kukupa 10+games consecutively.....

Uwezo wake hauna shaka, ni mtu haswa ! Tatizo fitness!!!!!

Kwa hio tumekubaliana tuanze msimu na striker wetu Victor Goyk na Jesus ? Basi sawa
 
Arsenal 4 vs Coventry 0
#coyg
Pamoja na expectations nilizonazo kama hivyo wewe, sitegemei kuona tukishinda kwa goli zote hizo. Sitaki kujipa matarajio makubwa. Na hatujui Coventry watakuja vipi. Wanaweza wakakaa nyuma vile vile sherehe ikawa ngumu.
I expect 2-0 win.
Ushindi zaidi ya hapo nitaupokea mikono miwili.
 
Nakuunga mkona hasa case ya Zubimendi.


Dogo alicheza gemu nyingi zaidi ya misimu iliyopita. Alizoea kuishia 40 na kitu ila alifikisha 57 na bado msimu ulikuwa haujaisha. Kibaya zaidi system yetu inahitaji upambanaji lasivyo namba sahau.
Zubimendi alicheza kila mechi msimu Jana.
Afu kuna wajinga wanamnanga
 
Acha kuleta ujuaji wa kijinga kwa timu yetu.
Coventry Leo apende asipende lazima ale chuma 3+

Nimekaa pale👉
 
Kitakwimu Konsa siyo usajili bora badala yake yeye kama senior analetwa kama kiongozi.

Enzi za Wenger baada ya Saliba kuumia kwakua ana Mosquera na Salmon basi hao ndiyo wangeachiwa dimba mpaka Saliba ataporudi.

Sasa hivi silalamiki tena juu ya usajili wa mabeki, msimu uliopita tulioba waliokuja kutushikilia ni ambao tulijiuliza mbona wengi.

Leo naona imeripotiwa Arsenal wameanza kumfuatilia Alvarez, ila Alvarez hana mpango na EPL yeye mawazo yake yapo Barca
 
#FreeAlvalez

 
Huyu Alvarez lazima atatua Emirates.
Tutaswap na Gyokeres
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…