Shangazi si umalizie tu "kombe lenyewe baya"Arsenal kajikombe kimoja tu wanamaliza maneno
Kakombe walikokaa miaka zaidi ya 20 hawana.
We Mpira hujui bora ukafatilie mieleka. Nyie mna mchezaji wa kumweka nje Skelly? Hembu kuweni seriousNimeona Kuna tetesi za Skelly kutaka kujiunga na Chelsea anaona atapata mechi chache za kucheza sasa nikajiuliza Kama hapo kwenu anataka assurance ya kupata muda mwingi huku kwetu Chelsea atapataje? sio kwamba ni mchezaji mbaya ni mchezaji mzuri sana lakini huku kwetu tu kuna General Moi Caicedo, Enzo Fernandez na Kuna Romeo Lavia yeye huku atakuwa chaguo la nne hapo ninaposhindwa kuelewa hizi tetesi Kutokana na hizo engine hapo ndio maana tukamuuza Santos kwenda Man u
Mashabiki wa Arsenal mna zero knowledge of football kwenu kila mchezaji ni Bora kama tu anacheza kwenuWe Mpira hujui bora ukafatilie mieleka. Nyie mna mchezaji wa kumweka nje Skelly? Hembu kuweni serious
Nimekuelewa mkuu maana kuna wachezaji wanabebwa na mfumo na wengine hata peak ya timu inamfanya aonekane mzuri. Kimsingi sisi mashabiki wengi tunaangalia mpira wa matokeo ila sio process ya kupata matokeo.Mashabiki wa Arsenal mna zero knowledge of football kwenu kila mchezaji ni Bora kama tu anacheza kwenu
Naunga hojaHili kombe la EPL sisi kuliachia tena labda 2043 huko.
Kabisa hasa fans wa chelkenge ambao wanamtegemea niclous Jackson hawafikishe angalau top 4Kuna watu hawataleta timu uwanjani. Odegard amezaliwa upya
View attachment 3652640
Umeongea short and Clear ndio maana Barca wakamuacha Rashford ni kweli mchezaji wa kawaida. Mfano mzuri Gabriel na Saliba wanasifika kuwa ni best defenders kwenye ligi lakini ukiangalia mpira vizuri wanabebwa na system ya uchezaji wa Arteta, Arsenal wanakaba as team work wanaacha space ndogo baina ya mstari mmoja kwenda mwingine ndio maana inakuwa ngumu sana kufikika mara kwa mara golini kwao na ukitaka kuliona Hilo umemuona vizuri Gabriel kule World cup na Brazil yake alivyokuwa anapinduliwa pinduliwa ovyo ovyo ile ndio level halisi ya mchezaji mwenyewe. Wachezaji ambao unaweza kusema wapo level ya juu wanajiweza wao Wenyewe ni wawili tu pale Arsenal ni Declain Rice na Kipa wao Raya. Leo hii Bruno Fernandes anachukuliwa kawaida pale Man u ni kwasababu ya performance ya Team yake lakini yeye kama yeye ni mchezaji wa daraja la juu. Hakuna team yoyote atakayoenda alafu akaa benchi hivi vitu mashabiki wa Arsenal hawawezi kuona ni kwamba hawana uelewa ila wachezaji wengi wa Arsenal ni wa kawaida wanabebwa na performance ya team nzima mpaka wale wa kawaida wanaonekana wanajua.Nimekuelewa mkuu maana kuna wachezaji wanabebwa na mfumo na wengine hata peak ya timu inamfanya aonekane mzuri. Kimsingi sisi mashabiki wengi tunaangalia mpira wa matokeo ila sio process ya kupata matokeo.
Ndio maana sijawahi kumkubali mchezaji anaitwa Rashford hata kama anafunga goli kibao
Kwanini umechagua kumzungumzia Nicolas Jackson badala ya Joao Pedro?Kabisa hasa fans wa chelkenge ambao wanamtegemea niclous Jackson hawafikishe angalau top 4
Kwa sababu nico amepata mafanikio makubwa akiwa na chelkengeKwanini umechagua kumzungumzia Nicolas Jackson badala ya Joao Pedro?
Na si ndio mana walienda kutalii.Huyo huyo madueke kaenda world cup huku palmer na foden wamebaki nyumbani
Mimi Yamal, asee yule mtoto sijawahigi kumuelewa hata kidogo, anatembea na nyota ya barca na spainNimekuelewa mkuu maana kuna wachezaji wanabebwa na mfumo na wengine hata peak ya timu inamfanya aonekane mzuri. Kimsingi sisi mashabiki wengi tunaangalia mpira wa matokeo ila sio process ya kupata matokeo.
Ndio maana sijawahi kumkubali mchezaji anaitwa Rashford hata kama anafunga goli kibao
Mafanikio gani makubwa Jackson kapata kuliko Joao PedroKwa sababu nico amepata mafanikio makubwa akiwa na chelkenge
Huyo dogo João hana vitu vingi vya kujifunza kutoka kwa Nico
Upo sahihi kabisa Mkuu. EPL hua haina mwenyewe, usajili pekee hautoshi. Majeruhi, bahati , fomu ya wachezaji nk nk.Ukitaka kujua ligi ya Malkia haitabiriki, muulize shabiki wa Liverpool aliyeshuhudia timu yake msimu wa 2024/25 alivyokuwa na matarajio ya kutawala ligi kwa miaka 10 mfululizo na alipoishia msimu wa 2025/26 tena baada ya maingizo bora kabisa.
Tujipe muda mkuu
Saint Anne Captain Marvelous
Ni jambo zuri hili kwetu, ukizingatia ana miaka 28? Naona kama si jambo baya maana Timber, Saliba, White bado wana shida za fitness. Haswa Saliba, ambaye Konsa ameletwa makusudi kuziba pengo lake ili tusimtegemee Mosquera pekee yake kuziba nafasi ya RCB na RB.Usajili Updates: Arsenal wakubaliana na Aston Villa kumsajili beki wa kati Ezri Konsa kwa pauni milioni 51.
Arsenal imekubali kulipa dau la pauni milioni 51 kwa Aston Villa kumsajili beki wa kati Ezri Konsa.
Konsa ambae pia ni beki wa kati wa timu ya taifa ya Uingereza ataelekea London jioni hii kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya yake.
Konsa ambae amekuwa target ya muda mrefu ya Arsenal hucheza nafasi ya beki wa kati na hata upande wa kulia na meneja Arteta amekuwa akilenga kuimarisha safu ya ulinzi ya mabingwa hao wa ligi kuu ya Uingereza.
Konsa atakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa na Arsenal baada ya Bruno, Guimaraes, Christos Tzolis, Illan Meslier ambae ni kipa kutoka Leed United,
Ikiwa masuala yote yatakamilika by Ijumaa, basi Konsa atacheza mechi ya kwanza ya msimu wa ligi kati ya Arsenal na Coventry City ijumaa jioni.