Kuna Chelsea mkuuNaona Arsenal tukipokea mashabaki wetu waliotuhama nyakati za shida na kwenda Manchester City
Ndiyo kwanza tumeanza kutawala Soka la Uingereza
Naona chelkenge umeishiwa maneno πLeo tunaanza kuhesabu majanga kwenda kwa arsenyembo, tunaanza na hii.
Chelkenge tunafurahi kuona Enzo ananyooshwa, c alitukimbia akidhani anakwenda kuwa mwamba huko πNaona chelkenge umeishiwa maneno π
Itanoga mkikutana na cityChelkenge tunafurahi kuona Enzo ananyooshwa, c alitukimbia akidhani anakwenda kuwa mwamba huko π
Tamaduni za malkiaMbona medali zinatolewa kienyeji hv, au mm ndo sielewi?
Itakuwa utamu sana aisee π₯Itanoga mkikutana na city
Chelsea? Iliyomaliza nafasi ya 10? πππ Na ina kocha mpya aliyenunua wachezaji 14 mpaka sasa?Kuna Chelsea mkuu
Kocha wa chelkenge anachekesha kama sio ndugu yakoChelsea? Iliyomaliza nafasi ya 10? πππ Na ina kocha mpya aliyenunua wachezaji 14 mpaka sasa?
You are not relevant
Mwanzo ukuyasema hayoChelkenge tunafurahi kuona Enzo ananyooshwa, c alitukimbia akidhani anakwenda kuwa mwamba huko π
Sio sababuMwanzo ukuyasema hayo
Ikawaje?Leo tunaanza kuhesabu majanga kwenda kwa arsenyembo, tunaanza na hii.
Ajali kaziniIkawaje?
Chelsea ndio team ina wachezaji wengi wenye ubora Kuliko team yoyote Epl na pia wamebaki na key players wake Cole Palmer, Caicedo, Colwil, JOAO PEDRO, Reece James, Estevao Kuna nafasi chache wameongezea watu na nyingine wamejazia kwa hiyo msimu huu watasumbua wakikaa sawa pia kumbuka hawana michuano mingi hiyo pia ni faida ya kujijenga ndicho kilisaidia chini ya Conte kubeba ubingwa msimu wake wa Kwanza ikiwa msimu uliopita wake tulishika nafasi ya 10.Chelsea? Iliyomaliza nafasi ya 10? πππ Na ina kocha mpya aliyenunua wachezaji 14 mpaka sasa?
You are not relevant
Wajinga wengi sana mkuu.Mechi kabla haijaanza wachambuzi wa Ulaya (bongo ilikua ni Mbege Junior na walevi wengine) walikua wanasema hii ni mechi ya muhimu sana na itaonyesha udhaifu wa Arsenal ulipo.
City alivyobatizwa ubatizo wa pili katikati ya mechi wale wachambuzi wakaanza kuita hii ni mechi ya preseason. Walevi wetu wa huku bongo wao wakasema ajali kazini.